ambwilikiti
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 204
- 59
Ukitaka mwanao asiolewe weka nahari kubwa utakiona!!!
Itakuwa double taxation maana kuna uvumi kwamba kutakuwa na kodi ya ndoaHivi Magu hajatangaza kukata kodi kwenye mahari??
Big up Dada. Familia zingine mahari ndiyo mlango wa kutokea kwenye lindi la umaskini.Mahari ni makubaliano ya wanaooana na sio kukomoana maana mwanamke si bidhaa kwanza wanaotoza mahari kubwa wana tamaa tu ya mali je binti yako asipodumu sura utaiweka wapi. Kama wamwkubaliana basi na iwe hivyo. Mimi nimeolewa na msahafu tu sio kwamba mume wangu hakumudu kulipa mahari hata yeye alinishangaa baada ya miaka mitatu ya urafiki namshika mahari ndogo,kupewa list ya madango ya nyumbani alitamani kupiga kelele nikamwambia ndio maana nilikushika kitu kidogo maana naijua hii kabila mahesabu yalipigwa vikazidi milioni,nikasimama kidete kuwaambia wazee huyo mtu hana uwezo hatolipa zaidi ya laki mbili au nibaki nyumbani ilikuwa ngumu lkn baadae wakaelewa na niliwafungulia njia wengine vizuri na mpk leo mwaka wa 12 nipo ndoani. Mahari si mtaji wala kukomoana inabidi tubadilike kuna walioolewa na mamilioni hata mwaka hawakumaliza,msikomoane wakati mtaenda kuishi wote na kujenga familia.
Wewe si mme wa mtu?unaanzaje kuteta na huyo binti?...angelita kama uko single tutete basi.

Siri imefichuka!Wewe si mme wa mtu?unaanzaje kuteta na huyo binti?...![]()
Wewe si mme wa mtu?unaanzaje kuteta na huyo binti?...![]()
Siri imefichuka!
Uwiiii nahisi kupofuka machoMie mume wa nani?
Am speechless![]()
I have nothing to sayLet's talk