Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,808
- 11,483
Umenichekesha sana kijana wanguHehee! Wewe ni kichwa maji kweli! Asipooa atajojolea wapi?
Umenichekesha sana kijana wanguHehee! Wewe ni kichwa maji kweli! Asipooa atajojolea wapi?
Vitu vya bei cheeeee ni fake na havidumu vivyo hivyo mke mahari cheee kama simu ya tecno anaweza kuwa fake achana na mpango wa kumuoa kabla ya Juni 16 2016 la sivyo yatakukuta ya akina "nimemkojoza miaka 15"Leo nlimtuma mshenga na ancle wangu kuchukua majibu ya posa na thamani ya Mahali cha ajabu wamepewa karatasi yenye mchanganuo wa vitu na thamani yake jumla wamepata laki 658000 hata siamini hapo hapo wakatoa laki 2 nadaiwa laki 458000 (walienda na millioni 1 ila waliona ni dharau kulipa yote)
Mikoa ya kusini bei inacheza hapahapa na wanawake wa kule ukiwaremba kimjini-mjini utajionea wivu hadi wewe mwenye. ila sasa nenda shinyanga, tabora na miko mingine ya huko mmhhh!!!Hapo wamekupiga..ilitakiwa isizidi 32,350/= Tsh![]()
![]()
![]()
Ndio mzuri huyo , nielekeze kikachague bint mmojaKuna Mzee wangu mmoja mahari Kwa watoto wake wote wa kike ni shillingi elfu moja tu ,ila Ana fanya send off ya kuanzia 30 M
Ndio mzuri huyo , nielekeze kikachague bint mmoja
Mbona umeguna? Ikiwa tunadai risiti kwa kununua tu bulb ya 2000 kwanini tusidai kwa malipo ya kumpata mke ambayo fedha hizo zingetosha kufanya wiring kwenye zahanati tatu za kijiji pamoja na mshahara wa mwezi mmoja wa mlinzi wa soko la ushirika?![]()
![]()
![]()
Mkuu duuh