mahari ya mwendokasi.😀
Kama ni huyo basi kila laheri!, ulimpendea nini? kazi?/diploma? au nini ndg?ana miaka 26 ana diploma ya It ni mwajiriwa serikalini
Huyo wa mara ya mwisho aliolewa na bank?Mara ya mwisho mahali kupolewa kwetu ilikuwa 5.8M sijui kwasasa itakuwaje ,nawaza tu.
Bora ungenyamaza mana hukumuelewa mtoa postSasa kama mahar lak6 anaona ngumu, unategemea nn, angekutana na bint anayetaka ka vitz je...anyway siku hz papuch zipo za bei chee atatumia hizo!!
Nimemuelewa sana alichopost ndio mana nika coment! Ukilaza wako ndio umekufanya usielewe nlichocoment...Bora ungenyamaza mana hukumuelewa mtoa post
Leo nlimtuma mshenga na ancle wangu kuchukua majibu ya posa na thamani ya Mahali cha ajabu wamepewa karatasi yenye mchanganuo wa vitu na thamani yake jumla wamepata laki 658000 hata siamini hapo hapo wakatoa laki 2 nadaiwa laki 458000 (walienda na millioni 1 ila waliona ni dharau kulipa yote)
Sawa kilaza mwenzangu tusijekuaribiana swaumu bureeeeNimemuelewa sana alichopost ndio mana nika coment! Ukilaza wako ndio umekufanya usielewe nlichocoment...