farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 701
Tatzo hawakubali kila mtu
Ndio mzuri huyo , nielekeze kikachague bint mmoja
Ndio mzuri huyo , nielekeze kikachague bint mmoja
soma vizur post yangu uckurupuke kuchangia ukimaliza mahali kwa wasambaa ni dharau walienda na M nkawaambia watoe 200 kwanzaSasa kama mahar lak6 anaona ngumu, unategemea nn, angekutana na bint anayetaka ka vitz je...anyway siku hz papuch zipo za bei chee atatumia hizo!!
nimeish naye kuanzia o level sema kajifungua mtoto juz juz labda ndo sababuUsikute gumegume Mkuu. Lilisha mtwanga magumi mamake, lilishatembea na waume za watu mtaa mzima, lilishakula uroda na vijana wote wa mtaani, lilisha wahi kuliwa uroda hadharani, n.k
Fanya utafiti Mkuu.
hebu niambie ndugu wapi hapo nikaoe na mm maana mm niliambiwa million tatu nikachomoaLeo nlimtuma mshenga na ancle wangu kuchukua majibu ya posa na thamani ya Mahali cha ajabu wamepewa karatasi yenye mchanganuo wa vitu na thamani yake jumla wamepata laki 658000 hata siamini hapo hapo wakatoa laki 2 nadaiwa laki 458000 (walienda na millioni 1 ila waliona ni dharau kulipa yote)
Milioni tatu bidhaa?,jamani watu wa ajabu sana unamkomoa mwenzako kisa ninihebu niambie ndugu wapi hapo nikaoe na mm maana mm niliambiwa million tatu nikachomoa
Mh labda itakua mkoa wa Kagera.Kuna Mzee wangu mmoja mahari Kwa watoto wake wote wa kike ni shillingi elfu moja tu ,ila Ana fanya send off ya kuanzia 30 M
kweli baba maana hilo ni honda kabsa dukani unapangua mbili hadi 5mi nimepigwa 2.5M lakini nimewaambia sina kama ni mtoto wao acha aendelee tu kua mchumba angu harafu niwe napiga kisela. Mnaonaje mazee.
ndio maana nilichomoa nikaona bora niishi kisela tuMilioni tatu bidhaa?,jamani watu wa ajabu sana unamkomoa mwenzako kisa nini