Leo nlimtuma mshenga na ancle wangu kuchukua majibu ya posa na thamani ya Mahali cha ajabu wamepewa karatasi yenye mchanganuo wa vitu na thamani yake jumla wamepata laki 658000 hata siamini hapo hapo wakatoa laki 2 nadaiwa laki 458000 (walienda na millioni 1 ila waliona ni dharau kulipa yote)
AhahahahaaaaAnaniwekea kauzibe tu huyu.
Usimsikilize huyo ni mme wa mtuAhahahahaaaa
Wakati huo unanogajeMara ya mwisho mahali kupolewa kwetu ilikuwa 5.8M sijui kwasasa itakuwaje ,nawaza tu.
oya mkuu niachie goma hilo nakupa 2mil yao afu me nawapa hyo laki sita yao
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Kuna wenzio wanatoa 2milionLeo nlimtuma mshenga na ancle wangu kuchukua majibu ya posa na thamani ya Mahali cha ajabu wamepewa karatasi yenye mchanganuo wa vitu na thamani yake jumla wamepata laki 658000 hata siamini hapo hapo wakatoa laki 2 nadaiwa laki 458000 (walienda na millioni 1 ila waliona ni dharau kulipa yote)
Na change inarudi usawa mgumu ati.Daah hiyo ni mahali au
Haaa haaa haaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo wamekupiga..ilitakiwa isizidi 32,350/= Tsh [emoji15] [emoji15] [emoji23]