Barua yenyewe haina mhuri.Hivi mnamkumbuka jamaa aliyekuja JF na mtoto aliueungua moto na kulazwa Lugalo Hospital? Mtu anaongelea kwenye key board hatakaa aaminike tena kwa wana JF. Na huyu naye tunamuamini kwa lipi? Anyone can make a story. Hizo barua na receipts za forex nani anajua kama ni za kweli? Pesa ya kununua smartphone na bando huku eti hajala na mwili umemvimba amepata wapi? Ninaweza kumuuliza maswali 100 na ya chemshabongo.
Angalia vizuri kule chini sema nimefuta jina la kijiji pia umefutikafutika kwa sababu ya kukaa sana maana tangu 2013Barua yenyewe haina mhuri.
Kabisa, akauze figo yake moja hata kwa mil.15 tu atakuwa amepata mtaji.Kabla hujajiua kama unavyotaka nenda katoe msaada wa viungo kwa watu wanaovihitaji
Mistake kubwa katika hii game .Mkuu nilianza na dola chache lakini kila siku nilikuwa natumiwa meseji ( margin call) kuwa account inaelekea kuungua so huwa wanashauri ili kuepusha kuunguza inabidi kuongeza balance ili kuongeza margin level ndo hiko nilichokuwa nikifanya mpaka kujikuta nimeweka pesa yote na kubaki mikono mitupu
All in all sifa ya mwanaume ni kupambana na sio kulialia namna hii, unadhani wewe ndo yatima pekee katika hii dunia? Unadhani ni wewe pekee usiye na ajira Tanzania? Uza simu yako urudi kijijini kwenu ukalime ili upate walau chakulaAngalia vizuri kule chini sema nimefuta jina la kijiji pia umefutikafutika kwa sababu ya kukaa sana maana tangu 2013
NImefuatilia kwa makini sana, ina elekea Jana tarehe 13/08/2019 umepigwa sana Forex, pole sana mkuu kujiua sio suluhisho la matatizo kumbuka baba ako mdogo alikulelea naye sasa anategemea nguvu zako. Think twice, unawaachaje wanaobaki, kamwe usikate tamaa, no matter how hardship your are going through never give up. And there is no difference between gambling and forex, thats why you are advised always to trade with money you can afford to lose!POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)
Mimi ni kijana ambaye utoto wangu nimeishi maisha ya uyatima nasema hivi kwa kuwa tangu nizaliwe sijawahi kumwona mama wala sijui baba yangu anafananaje maana naambiwa mama alifariki nikiwa na umri wa miezi mitatu na baba hapo hapo akaniacha nikiwa na umri huo hivyo nimelelewa na bibi mzaa mama hadi kufikia umri wa kwenda shule ambapo hapo nimelelewa na baba mdogo kutoka darasa la kwanza
Baba mzazi sijawahi kumuona ila niliona maiti yake nikiwa darasa la tatu ambayo yalisafirishwa kutoka huko alikokuwa akiishi
Maisha yangu yamekuwa ya mateso muda WOTE hakuna siku nimewahi kupata raha au faraja katika maisha yangu nimeteseka sana ,nimefanya kazi kama mtumwa ,nimelala sana na njaa ( kulala siku mbili,au tatu bila kula sio jambo la kushangaza imekuwa kawaida yangu
Niseme wazi licha ya baba mdogo kuwa na hali ngumu ya maisha lakini kanisaidia kusoma hadi chuo cha UALIMU ngazi ya cheti (UALIMU shule za msingi) sina budi kumshukuru japo michango mingi na ada za shule nimelipiwa na tasisi mbalimbali hivyo yeye alikuwa mlezi wangu japo alikuwa akinipa na hela ndogo ndogo za matumizi licha ya kuwa anawatoto wake na hali ngumu ya maisha
Baada ya kumaliza chuo cha UALIMU mwaka 2015 nikaona kama ndo ukombozi wangu maana miezi na siku yoyote nitaajiriwa lakini mpaka Leo sijapata ajira ,nimefanya vibarua na kago mtaani làkini kila ninachokipata hakijawahi fanikisha malengo yangu kabisa kabisa nimeishia kukopwa na jamaa,marafiki na ndugu lakini ubaya wake hawajawai nirejeshea pesa zangu nimekuwa ni mtu wa kufanya bidii na kuhangaika huku na huku hakuna siku nimepata faraja katika maisha yangu
Kumbuka hapa nilipo siwezi kurudi kwa baba mlezi kwa maana umri wake umeenda na hajiwezi tena na Mimi nimekuwa nikijitahidi kumkumbuka kwa kadri ya kidogo nachopata lakini kadri siku zinavyoenda ndo hali yangu inazidi kuwa mbaya zaidi,
Nipo kwenye matatizo na majaribu mazito hapa nilipo sijala chochote toka juzi na macho yamevimba kutokana na kulia muda wote usingizi hamna kabisakabisa na nimeishiwa chakari kabisa hapa nimebakiwa na mia sita kwa ajiri ya kununulia sumu tu
Hali yangu ya maisha imekuwa ngumu mno na nilijaribu kuomba ushauri kwa baadhi ya watu wakaniambia nyota yako imechafuka hivyo unapaswa uende kwa wataalamu wasafishe nyota Leo Nina miezi kadhaa tangu niende huko sijapata hata tone la fanikio nimeishia kutoa pesa zangu nilizotafuta kwa jasho jingi
Nimehangaika sana nimehangaika mno sina namna ya kujikwamua sioni upenyo wowote yaani mbele sioni kabisakabisa ninaowadai wamenifungia simu zao na kuniblock mungu wape maisha mema unajua kujitoa kwangu kulikuwaje mpaka Leo nawaza hivi najua ni mapenzi yako ee mungu
Hii hali ilivyozidi kuwa mbaya siku hadi siku kule kijijini kulikuwa na mashamba ambayo walikuwa wakilima na kuyatumia wazazi wangu hivyo baada ya wao kutangulia mbele za haki baba mlezi kanipatia hayo mashamba NA kaniambia wazi kuwa niyauze ili nipate pa kuanzia lakini baada ya kuuza hayo mashamba ndo nimezidi kuumia kwa zaidi ya Mara mia zaidi
Pesa iliyopatikana niliamua kufanya ufugaji wa kuku lakini katika vifaranga 150 nilivyoanza navyo vilikufa na kubaki 11 tu na baadae vimefikia umri wa kutaga vikafa tena vikabaki 5 tu ambavyo niliamua kuuza kwa bei ya hasara
Nimefanya mengi bila mafanikio
Nimejiunga na shirika moja la ujasiriamali la utengenezaji bidhaa za viwandani lakini baadae likafungiwa maana lilikuwa halina usajiri kila nachogusa ndo kinaniumiza zaidi
Pesa niliyokuwa nimetunza sehemu iliyobaki baada ya kuuza mashamba kuna mtu kanishauri kuwekeza katika forex MUNGU WE MUNGU WE EEE MUNGU (MJINGA MM)
Jamani MUNGU nimekosa nini mm mbona kila jambo nalogusa sifanikiwi kibaya zaidi unaniacha nahangaika na kulala na njaa siku zote hizi mbona nikipata huwa nasaidia kila aliyeniomba msaada kwanini mm nipo hivi EE MUNGU NIMEKOSA NINI MM?
jamani nateseka sina cha kutegemea tena hali yangu imezorota sana nimekonda hakuna mfano, uso mzito maana Nina siku mbili ndani nimelala tu nashindia kulia tu sijala Leo naenda siku ya tatu
Jamani nimeingia huko forex nimeliwa kila kitu,TV na sabufa nimeuza kitanda nimeuza,simu nayo nataka niuze kwa ajiri ya nauli navyoenda kunywa sumu maana nimepanga kunywea mbali na meneo haya tena mtoni ili kupoteza ushahidi
Nimeshakata tamaa kabisakabisa naomba naomba kwa mwenye msaada wa mawazo yoyote ya kuninusuru maisha yangu anisaidie ,pia kama kuna mtu yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira huko serikalini nisaidieni maana kama vyeti ninavyo na nimetuma maombi ya ajira Mara kadhaa serikalini bila mafanikio
Nisaidieni jamani nisaidieni jamani
Hapa chini utaona screenshot ya trade nilizounguza katika mfumo wa dola
Naombeni msaada wa hali NA Mali nisaidieni nisipoteze roho yangu kwa njaa ama kujiua
Naombeni msaada wenu nisaidieni mm msaada wenu tafadhali nipatiwe msaada
Wa mawazo
Au nipate ajira serikalini
Msaada hata pesa nitashukuru zaidi
Ahsante
Pia nimeambatanisha barua niliyoandikiwa na kijiji kipindi naenda chuo kama uthibitisho
Nimeandika ukweli mtupu japo tabu na mateso mengi niliyopitia sijaandika ila utayeguswa kwa namna yoyote ile nitashukuru kwa msaada wakoView attachment 1180631View attachment 1180647
Hapo ndipo ulikosea!POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)

POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)