Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

Mkuuu natamani nijipige picha unione kwa kweli hali ni mbaya sh mia sita tu NDO imebaki Amini nakwambia yasikukute
Forex uliingia bila elimu. Huwezi kufungua trades nyingi hivyo kijana. Anyway utajifunza zaidi.
Umewahi kumlilia Mungu?
Naona ulienda kwa mganga tu. Simama usiku umlilie Mungu, ni yeye tu anayeweza kukutoa mtegoni.
Ukijiua utapata dhambi, mema uloyatenda yote yanakua ni bure tu.
Bado unayo nafasi pambana. Labda zimebaki siku chache tu kupata nafuu, who knows.
 
Nimeona hizo loss za forex nikaogopa hadi tumbo likatetemeka.
Ulikuwa unatrade namna gani hadi unafunga na hasara kubwa hivyo?
Pole sana mkuu.
 
wewe ni bibi/mama jaribu kuwa na subira ya kuhukumu inawezekana kweli ni muhitaji,unaweza wapotosha hata wenye nia njema ya kumsaidi
Unataka kufa? Ngoja siku yako ifike utakufa tu. Usijiue. Unafikiri nani atabaki hapa duniani?

Si unasema hela ya kula huna? Sasa yanini kujiua si usubiri tu ufe na njaa.

Punguani wahed.
 
POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)

Mimi ni kijana ambaye utoto wangu nimeishi maisha ya uyatima nasema hivi kwa kuwa tangu nizaliwe sijawahi kumwona mama wala sijui baba yangu anafananaje maana naambiwa mama alifariki nikiwa na umri wa miezi mitatu na baba hapo hapo akaniacha nikiwa na umri huo hivyo nimelelewa na bibi mzaa mama hadi kufikia umri wa kwenda shule ambapo hapo nimelelewa na baba mdogo kutoka darasa la kwanza

Baba mzazi sijawahi kumuona ila niliona maiti yake nikiwa darasa la tatu ambayo yalisafirishwa kutoka huko alikokuwa akiishi
Maisha yangu yamekuwa ya mateso muda WOTE hakuna siku nimewahi kupata raha au faraja katika maisha yangu nimeteseka sana ,nimefanya kazi kama mtumwa ,nimelala sana na njaa ( kulala siku mbili,au tatu bila kula sio jambo la kushangaza imekuwa kawaida yangu

Niseme wazi licha ya baba mdogo kuwa na hali ngumu ya maisha lakini kanisaidia kusoma hadi chuo cha UALIMU ngazi ya cheti (UALIMU shule za msingi) sina budi kumshukuru japo michango mingi na ada za shule nimelipiwa na tasisi mbalimbali hivyo yeye alikuwa mlezi wangu japo alikuwa akinipa na hela ndogo ndogo za matumizi licha ya kuwa anawatoto wake na hali ngumu ya maisha

Baada ya kumaliza chuo cha UALIMU mwaka 2015 nikaona kama ndo ukombozi wangu maana miezi na siku yoyote nitaajiriwa lakini mpaka Leo sijapata ajira ,nimefanya vibarua na kago mtaani làkini kila ninachokipata hakijawahi fanikisha malengo yangu kabisa kabisa nimeishia kukopwa na jamaa,marafiki na ndugu lakini ubaya wake hawajawai nirejeshea pesa zangu nimekuwa ni mtu wa kufanya bidii na kuhangaika huku na huku hakuna siku nimepata faraja katika maisha yangu

Kumbuka hapa nilipo siwezi kurudi kwa baba mlezi kwa maana umri wake umeenda na hajiwezi tena na Mimi nimekuwa nikijitahidi kumkumbuka kwa kadri ya kidogo nachopata lakini kadri siku zinavyoenda ndo hali yangu inazidi kuwa mbaya zaidi,

Nipo kwenye matatizo na majaribu mazito hapa nilipo sijala chochote toka juzi na macho yamevimba kutokana na kulia muda wote usingizi hamna kabisakabisa na nimeishiwa chakari kabisa hapa nimebakiwa na mia sita kwa ajiri ya kununulia sumu tu

Hali yangu ya maisha imekuwa ngumu mno na nilijaribu kuomba ushauri kwa baadhi ya watu wakaniambia nyota yako imechafuka hivyo unapaswa uende kwa wataalamu wasafishe nyota Leo Nina miezi kadhaa tangu niende huko sijapata hata tone la fanikio nimeishia kutoa pesa zangu nilizotafuta kwa jasho jingi

Nimehangaika sana nimehangaika mno sina namna ya kujikwamua sioni upenyo wowote yaani mbele sioni kabisakabisa ninaowadai wamenifungia simu zao na kuniblock mungu wape maisha mema unajua kujitoa kwangu kulikuwaje mpaka Leo nawaza hivi najua ni mapenzi yako ee mungu

Hii hali ilivyozidi kuwa mbaya siku hadi siku kule kijijini kulikuwa na mashamba ambayo walikuwa wakilima na kuyatumia wazazi wangu hivyo baada ya wao kutangulia mbele za haki baba mlezi kanipatia hayo mashamba NA kaniambia wazi kuwa niyauze ili nipate pa kuanzia lakini baada ya kuuza hayo mashamba ndo nimezidi kuumia kwa zaidi ya Mara mia zaidi

Pesa iliyopatikana niliamua kufanya ufugaji wa kuku lakini katika vifaranga 150 nilivyoanza navyo vilikufa na kubaki 11 tu na baadae vimefikia umri wa kutaga vikafa tena vikabaki 5 tu ambavyo niliamua kuuza kwa bei ya hasara

Nimefanya mengi bila mafanikio
Nimejiunga na shirika moja la ujasiriamali la utengenezaji bidhaa za viwandani lakini baadae likafungiwa maana lilikuwa halina usajiri kila nachogusa ndo kinaniumiza zaidi

Pesa niliyokuwa nimetunza sehemu iliyobaki baada ya kuuza mashamba kuna mtu kanishauri kuwekeza katika forex MUNGU WE MUNGU WE EEE MUNGU (MJINGA MM)

Jamani MUNGU nimekosa nini mm mbona kila jambo nalogusa sifanikiwi kibaya zaidi unaniacha nahangaika na kulala na njaa siku zote hizi mbona nikipata huwa nasaidia kila aliyeniomba msaada kwanini mm nipo hivi EE MUNGU NIMEKOSA NINI MM?

jamani nateseka sina cha kutegemea tena hali yangu imezorota sana nimekonda hakuna mfano, uso mzito maana Nina siku mbili ndani nimelala tu nashindia kulia tu sijala Leo naenda siku ya tatu

Jamani nimeingia huko forex nimeliwa kila kitu,TV na sabufa nimeuza kitanda nimeuza,simu nayo nataka niuze kwa ajiri ya nauli navyoenda kunywa sumu maana nimepanga kunywea mbali na meneo haya tena mtoni ili kupoteza ushahidi

Nimeshakata tamaa kabisakabisa naomba naomba kwa mwenye msaada wa mawazo yoyote ya kuninusuru maisha yangu anisaidie ,pia kama kuna mtu yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira huko serikalini nisaidieni maana kama vyeti ninavyo na nimetuma maombi ya ajira Mara kadhaa serikalini bila mafanikio

Nisaidieni jamani nisaidieni jamani

Hapa chini utaona screenshot ya trade nilizounguza katika mfumo wa dola

Naombeni msaada wa hali NA Mali nisaidieni nisipoteze roho yangu kwa njaa ama kujiua

Naombeni msaada wenu nisaidieni mm msaada wenu tafadhali nipatiwe msaada
Wa mawazo
Au nipate ajira serikalini
Msaada hata pesa nitashukuru zaidi

Ahsante

Pia nimeambatanisha barua niliyoandikiwa na kijiji kipindi naenda chuo kama uthibitisho

Nimeandika ukweli mtupu japo tabu na mateso mengi niliyopitia sijaandika ila utayeguswa kwa namna yoyote ile nitashukuru kwa msaada wakoView attachment 1180631View attachment 1180647
Yaani ulikuwa na hela yote hiyo ya kuinvest kwenye forex halafu unalalamika hauna hela??

Inaonekana uliiingia forex ukiwa na expectations kubwa sana.

Expectations ndo zilizokuua...
 
FOREX FOREX FOREX INATAKA KUTOA ROHO YA MTU..... ONTARIO utawaambia nini watu jamaa akijiua?

ila nini mkuu... KUJIUA SIO SULUHISHO, KUNA MAISHA MAZURI YANAKUSUBIRI MBELE, UNAPOKATA TAMAA UNAFELI SANA.

NAAMINI WATU WATAKUJA KUKUSAIDIA...MUNGU ANAONA KILIO CHAKO.
na wanaopata hela je?
 
Yaani ulikuwa na hela yote hiyo ya kuinvest kwenye forex halafu unalalamika hauna hela??

Inaonekana uliiingia forex ukiwa na expectations kubwa sana.

Expectations ndo zilizokuua...
Kweli mkuu yaani niliona mafanikio tu sikufikiria nje ya hapo
 
I smell something fishy. Mtu mwenye nia ya kujiua hatangazi!! You just kill yourself.

What's even more interesting is when you said "kupoteza ushahidi." Ushahidi upi??

Kudanganya sio rahisi aisee. Kwa ufupi tu, stori yako haina ukweli wowote. You can do better than that - Andika hata riwaya za kuhuzunisha.

Mtu una smart phone, Umeweka bando notificationa za ig, whatsapp zina pop up unasema hujala for three consecutive days. Hio ni akili au matope?? Na ndio maana sishangai Tanzania kuna walimu vilaza.

I believe depression and mental health problems are real, ila I'll make an exception in your case.
 
POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)

Mimi ni kijana ambaye utoto wangu nimeishi maisha ya uyatima nasema hivi kwa kuwa tangu nizaliwe sijawahi kumwona mama wala sijui baba yangu anafananaje maana naambiwa mama alifariki nikiwa na umri wa miezi mitatu na baba hapo hapo akaniacha nikiwa na umri huo hivyo nimelelewa na bibi mzaa mama hadi kufikia umri wa kwenda shule ambapo hapo nimelelewa na baba mdogo kutoka darasa la kwanza

Baba mzazi sijawahi kumuona ila niliona maiti yake nikiwa darasa la tatu ambayo yalisafirishwa kutoka huko alikokuwa akiishi
Maisha yangu yamekuwa ya mateso muda WOTE hakuna siku nimewahi kupata raha au faraja katika maisha yangu nimeteseka sana ,nimefanya kazi kama mtumwa ,nimelala sana na njaa ( kulala siku mbili,au tatu bila kula sio jambo la kushangaza imekuwa kawaida yangu

Niseme wazi licha ya baba mdogo kuwa na hali ngumu ya maisha lakini kanisaidia kusoma hadi chuo cha UALIMU ngazi ya cheti (UALIMU shule za msingi) sina budi kumshukuru japo michango mingi na ada za shule nimelipiwa na tasisi mbalimbali hivyo yeye alikuwa mlezi wangu japo alikuwa akinipa na hela ndogo ndogo za matumizi licha ya kuwa anawatoto wake na hali ngumu ya maisha

Baada ya kumaliza chuo cha UALIMU mwaka 2015 nikaona kama ndo ukombozi wangu maana miezi na siku yoyote nitaajiriwa lakini mpaka Leo sijapata ajira ,nimefanya vibarua na kago mtaani làkini kila ninachokipata hakijawahi fanikisha malengo yangu kabisa kabisa nimeishia kukopwa na jamaa,marafiki na ndugu lakini ubaya wake hawajawai nirejeshea pesa zangu nimekuwa ni mtu wa kufanya bidii na kuhangaika huku na huku hakuna siku nimepata faraja katika maisha yangu

Kumbuka hapa nilipo siwezi kurudi kwa baba mlezi kwa maana umri wake umeenda na hajiwezi tena na Mimi nimekuwa nikijitahidi kumkumbuka kwa kadri ya kidogo nachopata lakini kadri siku zinavyoenda ndo hali yangu inazidi kuwa mbaya zaidi,

Nipo kwenye matatizo na majaribu mazito hapa nilipo sijala chochote toka juzi na macho yamevimba kutokana na kulia muda wote usingizi hamna kabisakabisa na nimeishiwa chakari kabisa hapa nimebakiwa na mia sita kwa ajiri ya kununulia sumu tu

Hali yangu ya maisha imekuwa ngumu mno na nilijaribu kuomba ushauri kwa baadhi ya watu wakaniambia nyota yako imechafuka hivyo unapaswa uende kwa wataalamu wasafishe nyota Leo Nina miezi kadhaa tangu niende huko sijapata hata tone la fanikio nimeishia kutoa pesa zangu nilizotafuta kwa jasho jingi

Nimehangaika sana nimehangaika mno sina namna ya kujikwamua sioni upenyo wowote yaani mbele sioni kabisakabisa ninaowadai wamenifungia simu zao na kuniblock mungu wape maisha mema unajua kujitoa kwangu kulikuwaje mpaka Leo nawaza hivi najua ni mapenzi yako ee mungu

Hii hali ilivyozidi kuwa mbaya siku hadi siku kule kijijini kulikuwa na mashamba ambayo walikuwa wakilima na kuyatumia wazazi wangu hivyo baada ya wao kutangulia mbele za haki baba mlezi kanipatia hayo mashamba NA kaniambia wazi kuwa niyauze ili nipate pa kuanzia lakini baada ya kuuza hayo mashamba ndo nimezidi kuumia kwa zaidi ya Mara mia zaidi

Pesa iliyopatikana niliamua kufanya ufugaji wa kuku lakini katika vifaranga 150 nilivyoanza navyo vilikufa na kubaki 11 tu na baadae vimefikia umri wa kutaga vikafa tena vikabaki 5 tu ambavyo niliamua kuuza kwa bei ya hasara

Nimefanya mengi bila mafanikio
Nimejiunga na shirika moja la ujasiriamali la utengenezaji bidhaa za viwandani lakini baadae likafungiwa maana lilikuwa halina usajiri kila nachogusa ndo kinaniumiza zaidi

Pesa niliyokuwa nimetunza sehemu iliyobaki baada ya kuuza mashamba kuna mtu kanishauri kuwekeza katika forex MUNGU WE MUNGU WE EEE MUNGU (MJINGA MM)

Jamani MUNGU nimekosa nini mm mbona kila jambo nalogusa sifanikiwi kibaya zaidi unaniacha nahangaika na kulala na njaa siku zote hizi mbona nikipata huwa nasaidia kila aliyeniomba msaada kwanini mm nipo hivi EE MUNGU NIMEKOSA NINI MM?

jamani nateseka sina cha kutegemea tena hali yangu imezorota sana nimekonda hakuna mfano, uso mzito maana Nina siku mbili ndani nimelala tu nashindia kulia tu sijala Leo naenda siku ya tatu

Jamani nimeingia huko forex nimeliwa kila kitu,TV na sabufa nimeuza kitanda nimeuza,simu nayo nataka niuze kwa ajiri ya nauli navyoenda kunywa sumu maana nimepanga kunywea mbali na meneo haya tena mtoni ili kupoteza ushahidi

Nimeshakata tamaa kabisakabisa naomba naomba kwa mwenye msaada wa mawazo yoyote ya kuninusuru maisha yangu anisaidie ,pia kama kuna mtu yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira huko serikalini nisaidieni maana kama vyeti ninavyo na nimetuma maombi ya ajira Mara kadhaa serikalini bila mafanikio

Nisaidieni jamani nisaidieni jamani

Hapa chini utaona screenshot ya trade nilizounguza katika mfumo wa dola

Naombeni msaada wa hali NA Mali nisaidieni nisipoteze roho yangu kwa njaa ama kujiua

Naombeni msaada wenu nisaidieni mm msaada wenu tafadhali nipatiwe msaada
Wa mawazo
Au nipate ajira serikalini
Msaada hata pesa nitashukuru zaidi

Ahsante

Pia nimeambatanisha barua niliyoandikiwa na kijiji kipindi naenda chuo kama uthibitisho

Nimeandika ukweli mtupu japo tabu na mateso mengi niliyopitia sijaandika ila utayeguswa kwa namna yoyote ile nitashukuru kwa msaada wakoView attachment 1180631View attachment 1180647
nashauri ukapimwe na akili pia. Sijui hata unamlalamikia nani. Wazazi walifariki ukasomweshwa na baba mdogo. kwa wema kabisa baba mdogo akatunza mashamba ya wazazi hadi akakukabidhi, ukauza hayo mashamba.BADALA YA KULIMA.Watoto wako watarithi nini sasa
Sehemu fulani hapo umesema kuna watu uliwakopesha? hawakulipa? Kumbe ulikuwa na uwezo wa kiasi hicho? halafu ghafla unataka kujiua kisa ufukara? We mzima kweli
 
Duuu mkuu ulikua na mtaji zaidi ya Dollar 1000...! Alafu unalia kama vile ww ni maskini wa kutupwa
 
Mwenye kujiua hatangazi anaacha ujumbe akisha jiua. Huyu tapeli tu anacheza na "emotions" za watu.
 
wewe ni bibi/mama jaribu kuwa na subira ya kuhukumu inawezekana kweli ni muhitaji,unaweza wapotosha hata wenye nia njema ya kumsaidi
Wewe achana na mimi, nimeyaona mengi. Soma mada changia mada. Binafsi hunisaidii wala sikusaidii. Nikiwa mama au bibi wewe inakusaidia nini?

Mwenye kujiua hatangazi anaacha ujumbe akisha jiua. Huyu tapeli tu anacheza na "emotions" za watu.
 
Unataka kufa? Ngoja siku yako ifike utakufa tu. Usijiue. Unafikiri nani atabaki hapa duniani?

Si unasema hela ya kula huna? Sasa yanini kujiua si usubiri tu ufe na njaa.

Punguani wahed.

Daaaaah Mkuu hiyo Punguani wahed ina maana gani ??? Samahani kwa kuuliza
 
I smell something fishy. Mtu mwenye nia ya kujiua hatangazi!! You just kill yourself.

What's even more interesting is when you said "kupoteza ushahidi." Ushahidi upi??

Kudanganya sio rahisi aisee. Kwa ufupi tu, stori yako haina ukweli wowote. You can do better than that - Andika hata riwaya za kuhuzunisha.

Mtu una smart phone, Umeweka bando notificationa za ig, whatsapp zina pop up unasema hujala for three consecutive days. Hio ni akili au matope?? Na ndio maana sishangai Tanzania kuna walimu vilaza.

I believe depression and mental health problems are real, ila I'll make an exception in your case.
Duuh mkuu umeongea yote kana kwamba unauhakika lakini nipende tu kukwambia hakuna mtu mwenye akili timamu aweze kujidanganyia nafsi yake kila nilichoandika ni ukweli wa maisha yangu familia niliyolelewa mm ndo naijua, hali niliyoipata mm sidhani kama umewahi ipata mkuu nilikuwa na zaidi ya milioni 3 ni sahihi kuhusu meseji icon unazoziona ni sahihi lakini ni nani mwenye moyo wa uvumilivu pale unapopoteza milioni 3 na zaidi hio KWA lisaa na kujikuta vitu vya ndani vyote umeuza na hauna chochote unapeleka wapi USO wako ni sahihi kuyazungumza kwa mwenzio lakini likikufika hakuna ujanja

Ushauri wako ulikuwa muhimu sana kwako unless hutoi msaada wowote ila kumshauri mtu ni jambo jema zaidi kama nimedanganya Mungu aniadhibu Mara mbili ya hapa

Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom