Baada ya sex, miguu yangu huishiwa nguvu

iamriq_arthur

JF-Expert Member
May 1, 2021
377
884
Natumai mu wazima wa afya, bila kuchelewa leo nimekuja na naombeni ushauri juu ya hili jambo lililonitatiza kwa muda mrefu sana.

Mimi ni mwanaume kamili mwenye nguvu za kiume, jambo ambalo linanitatza ni swala la baada ya Sex miguu yangu huishiwa nguvu kabisa, huwa nafikia kipindi nashindwa mpaka kutembea.

Huchukua siku 4 mpaka 5 ili miguu yangu kurudi kwenye hali yake ya kawaida na kuweza kufanya majukumu yangu ya kila siku.

Tatzo hili linanifanya nashindwa kudumu kwenye mahusiano na kila nchumba ninaempata kwasababu huwa napoteza interest nae kwasababu ya kuishiwa nguvu miguuni kwangu.

Naombeni msaada jinsi ya kutatua tatizo hili ili niwe vzuri nisiwe naishiwa nguvu miguuni baada ya sex.
 
Natumai mu wazima wa afya, bira kuchelewa leo nimekuja na hiNaombeni ushauri juu ya hili jambo lililonitatiza kwa muda mrefu sana...
Fanya sana mazoezi kila siku asubuhi kabla ya kuingia mzigoni i mean kazini, na jioni baada ya kutoka mzigoni. Kunywa maji mengi na matunda kwa wingi.

Alafu kale kamchezo kanahitaji akili na maarifa, unaenda kwa style ya kusonga ugali. Unapiga pembeni pembe kwa pembe, kisha unakuja juu na chini pia pembe kwa pembe na kuuzungusha mwiko kwa style ya left and right. Sio kutumia miguvu sana bila akili mpaka uishiwe nguvu na kuanguka chali kama bata.
 
Fanya sana mazoezi kila siku asubuhi kabla ya kuingia mzigoni i mean kazini, na jioni baada ya kutoka mzigoni. Kunywa maji mengi na matunda kwa wingi.

Alafu kale kamchezo kanahitaji akili na maarifa, unaenda kwa style ya kusonga ugali. Unapiga pembeni pembe kwa pembe, kisha unakuja juu na chini pia pembe kwa pembe, sio kutumia miguvu sana bila akili mpaka uishiwe nguvu kama bata.

Asante kwa ushauri na kunibeza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom