Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,878
- 1,849
Whatever. Either you are lying or saying the truth si umesema umeamua kujiua?? Go ahead.Duuh mkuu umeongea yote kana kwamba unauhakika lakini nipende tu kukwambia hakuna mtu mwenye akili timamu aweze kujidanganyia nafsi yake kila nilichoandika ni ukweli wa maisha yangu familia niliyolelewa mm ndo naijua, hali niliyoipata mm sidhani kama umewahi ipata mkuu nilikuwa na zaidi ya milioni 3 ni sahihi kuhusu meseji icon unazoziona ni sahihi lakini ni nani mwenye moyo wa uvumilivu pale unapopoteza milioni 3 na zaidi hio KWA lisaa na kujikuta vitu vya ndani vyote umeuza na hauna chochote unapeleka wapi USO wako ni sahihi kuyazungumza kwa mwenzio lakini likikufika hakuna ujanja
Ushauri wako ulikuwa muhimu sana kwako unless hutoi msaada wowote ila kumshauri mtu ni jambo jema zaidi kama nimedanganya Mungu aniadhibu Mara mbili ya hapa
Ahsante mkuu