Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

Kaka nimepita mikoa mingi sana na huko DSM nimekaa miaka mitatu
mkuu una tamaa sana na hela istoshe umechezea hela nyingi kwa pupa mbaya zaidi uridhiki wala hutosheki na ulichonacho chakushangaza zaidi unachagua maisha pia unadeka sana,mwisho umeamua kuvunja sheria kuondoa uhai ambao hukuchangia hata pumzi ya dakika moja,umemkosea MUNGU ,omba toba tafuta kwa jasho ule kivulini,kuna watu wana shida na bado hawawezi kufika uko ulikofika,funguka MUNGU aishie milele akufungue ujitambue
 
Kwa mwanaume rijali kabisa mwenye pumbbu mbili kudeka kiasi hiki sio sawa, au labda kwakuwa umelelewa na bibi kakudekeza?

Maisha kupambana sio lelemama
 
Leo ningependa kukushirikisha katika hizi Inspiration Story ambazo zimenisaidia sana katika kunijenga na kunihamasisha kwenda mbele na pia kuniongezea Uvumilivu.
Ni Story ambazo zimekuwepo kwa Karne nyingi zikifurahisha lakini zikiwa na ujumbe Mzito ndani yake, ukizipitia naamini Utaburudika lakini mwisho wa siku utapata ujumbe wakati ukiendelea kupambana na Maisha ya kila siku. Karibuni

1. Thamani Yako

Kuna Mhamasishaji moja maarufu aliianza Hotuba yake kwa kutoa Noti ya Dola 20 mbele ya Umati wa watu wapatao 200 waliokusanyika kumsikiliza. Akawauliza nani angependa apewe Noti ile?”

Mikono 200 ikanyooshwa.

Akasema nitampa hii noti ya dola 20 mmoja kati yenu lakini kwanza, ngoja nifanye hiki.” Akaikunjakunja vibaya ile noti.

Na akauliza tena,” Ni nani bado anaitaka?

Mikono yote 200 bado ilinyooshwa.

Akasema haina mbaya,” Vipi kama Nikiifanya hivi?” Akaitupa ile Noti chini na akaikanyaga na viatu vyake.

Akaichukua ile Noti, akaionyesha kwa Umati. Noti ilikua imejikunjakunja na kuchafuka sana.

“Nani bado anaitaka?”

Bado mikono yote ikanyooshwa juu.

Akawaambia Rafiki zangu leo nimewafundisha somo Muhimu sana. Haikujalisha niliifanya nini ile Pesa, uliendelea kuitaka kwa sababu thamani yake haikupungua, bado iliendelea kua na thamani ya $20.

Mara nyingi katika Maisha yetu, Maisha yanatupiga Yanatutaabisha na Uchafu mwingi, tunafanya maamuzi mabaya, tunajihisi hatuna thamani tena. Lakini nataka kusema Haijalishi nini Kimetokea au Kitatokea, Bado Hujapoteza Thamani kwani Wewe ni wa Kipekee – Usisahau Hili.

2. Misaada Inayodumaza

Mtu mmoja alipata kuona kipepeo mdogo akinga’ng’niza kujitoa katika yai.

Alikaa na kutazama kipepeo huyo kwa masaa kadhaa wakati akijitahidi kulazimisha mwili wake kupita upenyo mdogo katika yai.

Hadi alipoacha ghafla kufanya maendeleo yoyote na ilionekana kama Kipepeo huyo mdogo amekwama.

Kwa hivyo mtu huyo aliamua kumsaidia kipepeo huyo mchanga. Alitwaa mkasi na akachukua lile yai na kuliongezea upenyo . Kisha kipepeo iliibuka kwa urahisi, ingawa alikuwa na mwili wenye kuvimba na mabawa madogo, yaliyofungwa.

Mtu huyo hakufikiria kitu chochote na alikaa hapo akingoja mabawa ya Kipepeo Yule mchanga yapanuke ili kumsaidia kipepeo Yule mchanga. Lakini hiyo haikutokea. Kipepeo alitumia maisha yake yote kukosa kuruka, akitambaa pande zote na mabawa madogo na mwili wenye kuvimba.

Licha ya moyo huruma wa mtu huyo, hakuelewa kwamba upenyo mdogo wa yai la Kipepeo ni kizuizi kinachohitajika kwa kipepeo huyo mchanga, ili apambane ajilazimishe kupita na ilikuwa njia ya Mungu ya kulazimisha maji kutoka kwa mwili wa kipepeo na kwenda kwenye mabawa yake Ili yakue na kujitayarisha kwa kuruka mara tu akitoka nje ya yai lake..

Funzo la hadithi:

Mapambano yetu maishani huendeleza nguvu zetu. Bila mapambano, hatukui na kamwe hatutakua na nguvu, kwa hivyo ni muhimu kwetu kushughulikia changamoto peke yetu, na sio kutegemea msaada kwa kila jambo kutoka kwa wengine.

3. Vizuizi Katika Maisha Yetu ni Fursa

Katika nyakati za zamani, Mfalme aliweka mwamba wa jiwe barabarani. Kisha yeye akajificha na kutazama kuona kama kuna mtu atauondoa mwamba wa jiwe nje ya njia. Wauzaji na wafanyabiashara tajiri zaidi wa mfalme walikuja na kutembea karibu na mwamba huo lakini hakuondoa mwamba huo.

Watu wengi walimlaumu sana Mfalme kwa kutoondosha mwamba ule barabarani, lakini hakuna hata mmoja wao aliyefanya chochote juu ya kuliondoa jiwe lile.

Kisha mfanyabiashara mdogo akaja akiwa amebeba mzigo wa mboga. Alipokaribia mwamba, huyo mkulima aliweka mzigo wake na kujaribu kusukuma jiwe na kuliondosha barabarani. Baada ya kusukuma na kujitahidi sana, hatimaye alifanikiwa.

Baada ya kurudi nyuma kuchukua mboga zake, akaona begi likiwa barabarani mahali palipokuwa na mwamba.

Begi hilo lilikuwa na sarafu nyingi za dhahabu na barua kutoka kwa Mfalme akielezea kwamba dhahabu hiyo ilikuwa ya mtu ambaye ameondoa mwambai huo barabarani.

Funzo la hadithi:
Kila kizuizi kinachokuja maishani kinatupa fursa ya kuboresha hali zetu, na wakati wavivu wanalalamika, wengine wanaunda fursa kupitia mioyo yao ya fadhili, ukarimu, na utayari wa kufanya mambo.

Asanteni

Tutaendelea tena wakati mwingine Siku njema
 
Wewe usichezee watu akili. Nenda serikali ya mtaa wako utasaidiwa. Ndiyo kazi ya serikali hiyo.
Faiza Foxy usimjibu hivyo jamani uwezi kujua Hali yake ya sasa

Alafu wewe ni mwanamke una watoto

#Kuna nyakati za kiza kinene katika maisha ya wanadamu, kama ujapitia hapo hongera
Wakati huo akili hu stack kitu pekee mtu anachohitaji ni faraja

Kama uwezi kumsaidia jitahidi angalau usimuumize
 
Ubarikiwe kiongozi wangu
 
Aende serikali ya mtaa kama ana matatizo watamsaidia. Cha ajabu nini?

Hapa mtamsaidia nini? Mpeni mchango wa pesa basi. Mimi ng'oo.
 
POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)

Mimi ni kijana ambaye utoto wangu nimeishi maisha ya uyatima nasema hivi kwa kuwa tangu nizaliwe sijawahi kumwona mama wala sijui baba yangu anafananaje maana naambiwa mama alifariki nikiwa na umri wa miezi mitatu na baba hapo hapo akaniacha nikiwa na umri huo hivyo nimelelewa na bibi mzaa mama hadi kufikia umri wa kwenda shule ambapo hapo nimelelewa na baba mdogo kutoka darasa la kwanza

Baba mzazi sijawahi kumuona ila niliona maiti yake nikiwa darasa la tatu ambayo yalisafirishwa kutoka huko alikokuwa akiishi
Maisha yangu yamekuwa ya mateso muda WOTE hakuna siku nimewahi kupata raha au faraja katika maisha yangu nimeteseka sana ,nimefanya kazi kama mtumwa ,nimelala sana na njaa ( kulala siku mbili,au tatu bila kula sio jambo la kushangaza imekuwa kawaida yangu

Niseme wazi licha ya baba mdogo kuwa na hali ngumu ya maisha lakini kanisaidia kusoma hadi chuo cha UALIMU ngazi ya cheti (UALIMU shule za msingi) sina budi kumshukuru japo michango mingi na ada za shule nimelipiwa na tasisi mbalimbali hivyo yeye alikuwa mlezi wangu japo alikuwa akinipa na hela ndogo ndogo za matumizi licha ya kuwa anawatoto wake na hali ngumu ya maisha

Baada ya kumaliza chuo cha UALIMU mwaka 2015 nikaona kama ndo ukombozi wangu maana miezi na siku yoyote nitaajiriwa lakini mpaka Leo sijapata ajira ,nimefanya vibarua na kago mtaani làkini kila ninachokipata hakijawahi fanikisha malengo yangu kabisa kabisa nimeishia kukopwa na jamaa,marafiki na ndugu lakini ubaya wake hawajawai nirejeshea pesa zangu nimekuwa ni mtu wa kufanya bidii na kuhangaika huku na huku hakuna siku nimepata faraja katika maisha yangu

Kumbuka hapa nilipo siwezi kurudi kwa baba mlezi kwa maana umri wake umeenda na hajiwezi tena na Mimi nimekuwa nikijitahidi kumkumbuka kwa kadri ya kidogo nachopata lakini kadri siku zinavyoenda ndo hali yangu inazidi kuwa mbaya zaidi,

Nipo kwenye matatizo na majaribu mazito hapa nilipo sijala chochote toka juzi na macho yamevimba kutokana na kulia muda wote usingizi hamna kabisakabisa na nimeishiwa chakari kabisa hapa nimebakiwa na mia sita kwa ajiri ya kununulia sumu tu

Hali yangu ya maisha imekuwa ngumu mno na nilijaribu kuomba ushauri kwa baadhi ya watu wakaniambia nyota yako imechafuka hivyo unapaswa uende kwa wataalamu wasafishe nyota Leo Nina miezi kadhaa tangu niende huko sijapata hata tone la fanikio nimeishia kutoa pesa zangu nilizotafuta kwa jasho jingi

Nimehangaika sana nimehangaika mno sina namna ya kujikwamua sioni upenyo wowote yaani mbele sioni kabisakabisa ninaowadai wamenifungia simu zao na kuniblock mungu wape maisha mema unajua kujitoa kwangu kulikuwaje mpaka Leo nawaza hivi najua ni mapenzi yako ee mungu

Hii hali ilivyozidi kuwa mbaya siku hadi siku kule kijijini kulikuwa na mashamba ambayo walikuwa wakilima na kuyatumia wazazi wangu hivyo baada ya wao kutangulia mbele za haki baba mlezi kanipatia hayo mashamba NA kaniambia wazi kuwa niyauze ili nipate pa kuanzia lakini baada ya kuuza hayo mashamba ndo nimezidi kuumia kwa zaidi ya Mara mia zaidi

Pesa iliyopatikana niliamua kufanya ufugaji wa kuku lakini katika vifaranga 150 nilivyoanza navyo vilikufa na kubaki 11 tu na baadae vimefikia umri wa kutaga vikafa tena vikabaki 5 tu ambavyo niliamua kuuza kwa bei ya hasara

Nimefanya mengi bila mafanikio
Nimejiunga na shirika moja la ujasiriamali la utengenezaji bidhaa za viwandani lakini baadae likafungiwa maana lilikuwa halina usajiri kila nachogusa ndo kinaniumiza zaidi

Pesa niliyokuwa nimetunza sehemu iliyobaki baada ya kuuza mashamba kuna mtu kanishauri kuwekeza katika forex MUNGU WE MUNGU WE EEE MUNGU (MJINGA MM)

Jamani MUNGU nimekosa nini mm mbona kila jambo nalogusa sifanikiwi kibaya zaidi unaniacha nahangaika na kulala na njaa siku zote hizi mbona nikipata huwa nasaidia kila aliyeniomba msaada kwanini mm nipo hivi EE MUNGU NIMEKOSA NINI MM?

jamani nateseka sina cha kutegemea tena hali yangu imezorota sana nimekonda hakuna mfano, uso mzito maana Nina siku mbili ndani nimelala tu nashindia kulia tu sijala Leo naenda siku ya tatu

Jamani nimeingia huko forex nimeliwa kila kitu,TV na sabufa nimeuza kitanda nimeuza,simu nayo nataka niuze kwa ajiri ya nauli navyoenda kunywa sumu maana nimepanga kunywea mbali na meneo haya tena mtoni ili kupoteza ushahidi

Nimeshakata tamaa kabisakabisa naomba naomba kwa mwenye msaada wa mawazo yoyote ya kuninusuru maisha yangu anisaidie ,pia kama kuna mtu yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira huko serikalini nisaidieni maana kama vyeti ninavyo na nimetuma maombi ya ajira Mara kadhaa serikalini bila mafanikio

Nisaidieni jamani nisaidieni jamani

Hapa chini utaona screenshot ya trade nilizounguza katika mfumo wa dola

Naombeni msaada wa hali NA Mali nisaidieni nisipoteze roho yangu kwa njaa ama kujiua

Naombeni msaada wenu nisaidieni mm msaada wenu tafadhali nipatiwe msaada
Wa mawazo
Au nipate ajira serikalini
Msaada hata pesa nitashukuru zaidi

Ahsante

Pia nimeambatanisha barua niliyoandikiwa na kijiji kipindi naenda chuo kama uthibitisho

Nimeandika ukweli mtupu japo tabu na mateso mengi niliyopitia sijaandika ila utayeguswa kwa namna yoyote ile nitashukuru kwa msaada wakoView attachment 1180631View attachment 1180647

Duh

Forex tena!?
 
Mimi niulize tu, hizo screen shots alizipigaje? Je alipiga zamani akiwa na simu mbili so alikuwa nazo !!! No mana forex inaonekana ni recent . Sojer njoo ujibu swali hapa kabla haujajiuwa
 
Pole, Kwenye shule zetu inabidi tufundishwe resilience( uwezo wa kusimama, kukaribiana na changamoto za maisha.)

Kwamba maisha yatakuwa magumu sana wakati fulani (Ugonjwa, kifo cha mtu wa karibu, kupoteza ajira, biashara, kipato, uzee, Mwisho wa yote kifo chetu.) ndio ukweli wa maisha ya binadamu.

Muhimu serikali, taasisi mbali mbali za kidini za zingine zifikirie jinsi kuwasadia vijana kwa vitu kama chakula, sehemu za kukaa, ushauri kwa muda kama wakigundua story zao ni za ukweli.

Kwamba pia yanaweza kubadilika kuwa mazuri kwa muda mchache. Oppurtunities bado zipo.
 
Mkuuu natamani nijipige picha unione kwa kweli hali ni mbaya sh mia sita tu NDO imebaki Amini nakwambia yasikukute
Naomba nenda Ocean road hospital, ukirudi utamshukuru Mungu. Uzima kila kitu. Dhababu lazima ipite kwenye moto ndo ing'ae!!
 
Unataka kufa? Ngoja siku yako ifike utakufa tu. Usijiue. Unafikiri nani atabaki hapa duniani?

Si unasema hela ya kula huna? Sasa yanini kujiua si usubiri tu ufe na njaa.

Punguani wahed.
Mh! Usiseme hivyo dada, pengine kakumbwa na ugonjwa wa akili
 
Sijaona hata sababu inayokufanya kuona kifo ni suluhu yake, nimepitia nyuzi zako nimeona unachukulia maisha kama bahati nasibu ndiyo maana unatafuta waganga, nimetafakari sanaaaa, ila kilichonishangaza unalalamika hauna pesa ila haudaiwi na mtu bali wewe unadai.kutokana na tafakri yangu huu ndio ushauri wangu.

1. Kuwaza kujiua ni upumbavu hasa unaoandamana na matatizo ya kiakili

2. Kulaumu watu unaowadai kwa kushindwa kukulipa nao ni upumbavu. Kuna watu hawana pesa ya kula na wanamadeni na hawajui watapata wapi pesa na matumaini wanayo makubwa

3. Chakula hata ukitoka hapo ukaenda kwa jirani naamini utapata chakula. Niliwahi funga siku mbili usiku na mchana bila kula wala kunywa lakini sikufa, amuka nenda kwa jirani nenda hata kaanguke uwanjani kwake ukilia njaaa nawe utapata msaada

4. Maisha siyo lelemama, usifikri ukifa dunia itapoteza wewe ndiyo utapotea na maisha yataendelea. Jiulize mimi niliyesoma uzi wako ukifa nitapoteza nini?

5. Chanzo cha matatizo yako ni wewe mwenyewe wala si mwingine, nakutakia kifo chema.
Asante kwa kuwawakilisha vyema madaktari wa magonjwa ya akili.

Asante sana
 
POLENI NA MAJUKUMU ( ee, MUNGU nisaidie)

Mimi ni kijana ambaye utoto wangu nimeishi maisha ya uyatima nasema hivi kwa kuwa tangu nizaliwe sijawahi kumwona mama wala sijui baba yangu anafananaje maana naambiwa mama alifariki nikiwa na umri wa miezi mitatu na baba hapo hapo akaniacha nikiwa na umri huo hivyo nimelelewa na bibi mzaa mama hadi kufikia umri wa kwenda shule ambapo hapo nimelelewa na baba mdogo kutoka darasa la kwanza

Baba mzazi sijawahi kumuona ila niliona maiti yake nikiwa darasa la tatu ambayo yalisafirishwa kutoka huko alikokuwa akiishi
Maisha yangu yamekuwa ya mateso muda WOTE hakuna siku nimewahi kupata raha au faraja katika maisha yangu nimeteseka sana ,nimefanya kazi kama mtumwa ,nimelala sana na njaa ( kulala siku mbili,au tatu bila kula sio jambo la kushangaza imekuwa kawaida yangu

Niseme wazi licha ya baba mdogo kuwa na hali ngumu ya maisha lakini kanisaidia kusoma hadi chuo cha UALIMU ngazi ya cheti (UALIMU shule za msingi) sina budi kumshukuru japo michango mingi na ada za shule nimelipiwa na tasisi mbalimbali hivyo yeye alikuwa mlezi wangu japo alikuwa akinipa na hela ndogo ndogo za matumizi licha ya kuwa anawatoto wake na hali ngumu ya maisha

Baada ya kumaliza chuo cha UALIMU mwaka 2015 nikaona kama ndo ukombozi wangu maana miezi na siku yoyote nitaajiriwa lakini mpaka Leo sijapata ajira ,nimefanya vibarua na kago mtaani làkini kila ninachokipata hakijawahi fanikisha malengo yangu kabisa kabisa nimeishia kukopwa na jamaa,marafiki na ndugu lakini ubaya wake hawajawai nirejeshea pesa zangu nimekuwa ni mtu wa kufanya bidii na kuhangaika huku na huku hakuna siku nimepata faraja katika maisha yangu

Kumbuka hapa nilipo siwezi kurudi kwa baba mlezi kwa maana umri wake umeenda na hajiwezi tena na Mimi nimekuwa nikijitahidi kumkumbuka kwa kadri ya kidogo nachopata lakini kadri siku zinavyoenda ndo hali yangu inazidi kuwa mbaya zaidi,

Nipo kwenye matatizo na majaribu mazito hapa nilipo sijala chochote toka juzi na macho yamevimba kutokana na kulia muda wote usingizi hamna kabisakabisa na nimeishiwa chakari kabisa hapa nimebakiwa na mia sita kwa ajiri ya kununulia sumu tu

Hali yangu ya maisha imekuwa ngumu mno na nilijaribu kuomba ushauri kwa baadhi ya watu wakaniambia nyota yako imechafuka hivyo unapaswa uende kwa wataalamu wasafishe nyota Leo Nina miezi kadhaa tangu niende huko sijapata hata tone la fanikio nimeishia kutoa pesa zangu nilizotafuta kwa jasho jingi

Nimehangaika sana nimehangaika mno sina namna ya kujikwamua sioni upenyo wowote yaani mbele sioni kabisakabisa ninaowadai wamenifungia simu zao na kuniblock mungu wape maisha mema unajua kujitoa kwangu kulikuwaje mpaka Leo nawaza hivi najua ni mapenzi yako ee mungu

Hii hali ilivyozidi kuwa mbaya siku hadi siku kule kijijini kulikuwa na mashamba ambayo walikuwa wakilima na kuyatumia wazazi wangu hivyo baada ya wao kutangulia mbele za haki baba mlezi kanipatia hayo mashamba NA kaniambia wazi kuwa niyauze ili nipate pa kuanzia lakini baada ya kuuza hayo mashamba ndo nimezidi kuumia kwa zaidi ya Mara mia zaidi

Pesa iliyopatikana niliamua kufanya ufugaji wa kuku lakini katika vifaranga 150 nilivyoanza navyo vilikufa na kubaki 11 tu na baadae vimefikia umri wa kutaga vikafa tena vikabaki 5 tu ambavyo niliamua kuuza kwa bei ya hasara

Nimefanya mengi bila mafanikio
Nimejiunga na shirika moja la ujasiriamali la utengenezaji bidhaa za viwandani lakini baadae likafungiwa maana lilikuwa halina usajiri kila nachogusa ndo kinaniumiza zaidi

Pesa niliyokuwa nimetunza sehemu iliyobaki baada ya kuuza mashamba kuna mtu kanishauri kuwekeza katika forex MUNGU WE MUNGU WE EEE MUNGU (MJINGA MM)

Jamani MUNGU nimekosa nini mm mbona kila jambo nalogusa sifanikiwi kibaya zaidi unaniacha nahangaika na kulala na njaa siku zote hizi mbona nikipata huwa nasaidia kila aliyeniomba msaada kwanini mm nipo hivi EE MUNGU NIMEKOSA NINI MM?

jamani nateseka sina cha kutegemea tena hali yangu imezorota sana nimekonda hakuna mfano, uso mzito maana Nina siku mbili ndani nimelala tu nashindia kulia tu sijala Leo naenda siku ya tatu

Jamani nimeingia huko forex nimeliwa kila kitu,TV na sabufa nimeuza kitanda nimeuza,simu nayo nataka niuze kwa ajiri ya nauli navyoenda kunywa sumu maana nimepanga kunywea mbali na meneo haya tena mtoni ili kupoteza ushahidi

Nimeshakata tamaa kabisakabisa naomba naomba kwa mwenye msaada wa mawazo yoyote ya kuninusuru maisha yangu anisaidie ,pia kama kuna mtu yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira huko serikalini nisaidieni maana kama vyeti ninavyo na nimetuma maombi ya ajira Mara kadhaa serikalini bila mafanikio

Nisaidieni jamani nisaidieni jamani

Hapa chini utaona screenshot ya trade nilizounguza katika mfumo wa dola

Naombeni msaada wa hali NA Mali nisaidieni nisipoteze roho yangu kwa njaa ama kujiua

Naombeni msaada wenu nisaidieni mm msaada wenu tafadhali nipatiwe msaada
Wa mawazo
Au nipate ajira serikalini
Msaada hata pesa nitashukuru zaidi

Ahsante

Pia nimeambatanisha barua niliyoandikiwa na kijiji kipindi naenda chuo kama uthibitisho

Nimeandika ukweli mtupu japo tabu na mateso mengi niliyopitia sijaandika ila utayeguswa kwa namna yoyote ile nitashukuru kwa msaada wakoView attachment 1180631View attachment 1180647
nimebakisha 600 ya kununulia sumu? hapa ndo uliponikera haya njoo dukan kwangu mimi nauza nyongo ya mamba.
ukichukua dakika tano baada ya kunywa dai hela
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom