Christian msangi
Member
- Jul 24, 2018
- 10
- 18
Habari ndugu zangu,
Mimi nina tatizo, ni kijana niliyepitia magumu mengi na bado napitia.
Nina umri wa Miaka 34, imefikia mahali nimepoteza hata familia yangu yenye watoto wawili na nimefanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini imeshindikana.
Sasa imefikia sehemu nikiona mtu kafa nafurahi mno naona ni bora yeye kaondoka kaenda kupumzika
Je, nifanyeje maana naona ukuta mbele sielewi msaada tafadhali.