Nimesahau wallet

Nimesahau wallet

Mnaboa sana nyie wanaume vijana,yani hamna maana,hamna lolote ndo maana tunawaacha,mnakwepa majukumu yenu,ndo maana vibabu vipo kwenye chat na tutazidi kuvisifia jinsi vilivyo makini,

KUNA SIKU NILITOKA OUT NA MWANAUME KIJANA,KABLA HATA HATUJAFIKA SEHEMU HUSIKA AKAANZA KUJISACHI,MARA KIDOGO AKANIAMBIA BABY NIMESAHAU WALLET HALAFU SIO MARA YAKE YA KWANZA,HALAFU KAPANDA GARI YANGU NILIPATWA NA HASIRA NIKAMSHUSHA NJIANI TENA ILIKUWA USIKU NA NDO UKAWA MWISHO WA UHUSIONO WETU ,

NARUDIA KUSEMA WANAUME MNAOPENDA MTEREMKO TUMEWAGUNDUA,HATUTAWAENDEKEZA.
DOCUMENT KWANZA MZIGO BAADAE

Unajiuza....?
 
kama huko JENU tayari tumesha kusamehe bure
 
Tena ingekuwa mimi ningemshushia polisi niseme mwizi,inahusuhu mwaume kusahau wallet! Mtakula kwa jasho na sisi tutazaa kwa uchungu.mkomeeee nyie wanaume suruali shenz type
 
kumbe una gari ulitaka akuwekee mafuta
ulivyoona ka sahau wallet ndo ukamshusha
hehe aibu yako
 
Tena ingekuwa mimi ningemshushia polisi niseme mwizi,inahusuhu mwaume kusahau wallet! Mtakula kwa jasho na sisi tutazaa kwa uchungu.mkomeeee nyie wanaume suruali shenz type

^^
Kwa niaba yao..Maisha yasisahau kauli yako
^^
 
wanawake shameless utawajua tu
hadi na thread unafungua
 
Jamani jamani jamani jamani daaah wikiend zina mambo

amu usishangae thread zinavugumishwa kutoka nyumba za wageni. Bwana kapiga kamoja ka kichovu sana kisha kalala fofofo kamwacha bibie anawaza, hili dari ni gypsum au hardbody..... Wacha aje na uzi kama huu
 
Last edited by a moderator:
Msipoteze watu bhana. Mi msichana wangu wkt tunaanza uhusiano nikimwambia tukutane sehemu flani, ikiwa yeye atatangulia kufika nakuta keshalipia lodge!
Kwa sasa niko nae mbali kidogo lkn anakuja kila w'end kwa nauli yake.
Akiona ndani kwangu kuna kitu kinahitajika na hakipo, ananunua.
Huko aliko siku akikwama, ananistua nampiga jeki.
Na hapo bado hatujawekeana commitment yoyote. Sasa kwa nini nisimpende!? Na kwa nini nisimjali!?
 
ndo maana nyie mabinti huwa mnaliwa 0713 mkikutana na wabishi..do u think mnapotoka mwanaume pekee ndo yupo responsible kwa gharama zote za mtoko? acheni utegemezi mtakufa na ukimwi ivo vibabu vinavyowahonga ni vigonjwa halafu haviwezi mabo..kimoja tu kibabu chaliii...endeleeni
 
hahaaa nimecheka aisee........wana visingizio kibao.....

hawajui kuwa Starehe GHARAMA.............

Hurumia nafsi yako,unafanya biashara kutumia tunda la katikati? Mwisho wako ni nini? Napenda uokolewe...acha kujirisha upepo na ubatili, tafta utakatifu haraka
 
Ndo maana kila siku mnasemwa. ukiamua kudate hakikisha u have cash money ya kulipia kila kitu incase mwanaume atakuwa hayuko kwenye hali nzuri kipesa.
 
Hurumia nafsi yako,unafanya biashara kutumia tunda la katikati? Mwisho wako ni nini? Napenda uokolewe...acha kujirisha upepo na ubatili, tafta utakatifu haraka

asante kwa ushauri.....uwe na juma pili yenye amani................
 
Hahahah, duuh. Ungemwuliza basi amesahau wallet hata Tigopesa kwenye simu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom