Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Last edited by a moderator:
hiyo mashine ni ya kusaga au kukoboa
Uhusiano wa wallet yake na safari yenu ilikuwaje???!!!!
We si una yako???!!!
Kulikuwa na ugumu gani kuirudia kama ilikuwa muhimu???!!!!
Akasahau waleti na ukawa mwisho wa uhusiano wenu!!!!!!!!!!??????????
Oooonh nikamshusha kwenye gari yangu hooooovyoooooooo si ungemwambia unauza tangu mwanzo ili ajipange!!!!!!!
Chefuuuuuuuuu kabisa polite pros.t.itute
Mnaboa sana nyie wanaume vijana,yani hamna maana,hamna lolote ndo maana tunawaacha,mnakwepa majukumu yenu,ndo maana vibabu vipo kwenye chat na tutazidi kuvisifia jinsi vilivyo makini,
KUNA SIKU NILITOKA OUT NA MWANAUME KIJANA,KABLA HATA HATUJAFIKA SEHEMU HUSIKA AKAANZA KUJISACHI,MARA KIDOGO AKANIAMBIA BABY NIMESAHAU WALLET HALAFU SIO MARA YAKE YA KWANZA,HALAFU KAPANDA GARI YANGU NILIPATWA NA HASIRA NIKAMSHUSHA NJIANI TENA ILIKUWA USIKU NA NDO UKAWA MWISHO WA UHUSIONO WETU ,
NARUDIA KUSEMA WANAUME MNAOPENDA MTEREMKO TUMEWAGUNDUA,HATUTAWAENDEKEZA.
DOCUMENT KWANZA MZIGO BAADAE
Kumbe wewe nawe ni mla vichwa?
Anaogopa kulipia Kodi biashara yake,ndio maana anafanya kwa kificho,a.k.a Tax Bubu
Mumesikia nyie wanaume vijana?
dah.. pole sana kaka yangu inaonekana umekwazika na uzi huuInawezekana kaiacha makusudi sababu ya mizinga ya huyo gold digger sasa we huoni ajabu yeye dada anakerwa na tabia ya kusahau wallet tu???!!!!Mapaka thread kabaaaang!!!!!!
Kama anauza aseme tu ugumu uko wapi????!!!!
Ikifika wakati wa familia si watu hujadiliana au kwako mume ATM???!!
Waacheni wadogo zetu bhana kama mtu anauza aweke wazi tangu mwanzo,kwani kusahau wallet si inatokea tu kama tunavyosahau leseni,si analipa tu then mna offset!!!!!
Uhusiano wa wallet yake na safari yenu ilikuwaje???!!!!
We si una yako???!!!
Kulikuwa na ugumu gani kuirudia kama ilikuwa muhimu???!!!!
Akasahau waleti na ukawa mwisho wa uhusiano wenu!!!!!!!!!!??????????
Oooonh nikamshusha kwenye gari yangu hooooovyoooooooo si ungemwambia unauza tangu mwanzo ili ajipange!!!!!!!
Chefuuuuuuuuu kabisa polite pros.t.itute[/QUOTE
na gari hana uyo anatafuta soko apa j.f