Hujaelewa nilichokisema - na sidhani kama utanielewa. Sisemi hivi kwa kukutusi wala kwa connotation mbaya, ila kulingana na maoni yako uliyoyatoa hapa. Kauli/maoni ya mtu humtambulisha mtoa maoni/kauli kuhusu status yake in terms of age, education, marital status etc, etc, etc. Kwa mfano ni vigumu mtu kuelewa mambo ya watoto kama yeye si mzazi.
There is an adage: By the time you realize that your parents were right you will have children who think you are wrong! Na ungo alikuwa kibeku. Acha niwe na "fikra potofu", and in fact am proud of it!