Nimerudi Naombeni Mwongozo......

Unadhani Madame B kapewa talaka ki-ukweli basi Nsuri? Anapima upepo wako tu huyo. Na usijaribu man! Chezeiya KINO CLAN weye?

Wewe umeshanishinda.
Muache mwenzako ajaribu bahati yake.
Wewe umechezea bahati ya kuishi na mwanamke rijali na tajiri... Madame B, Nsuri my baby come to me, achana na Arushaone.
 
Last edited by a moderator:
Tulia shem.
Nitambeba mdogo wangu.
Au unabisha?

Ssubbhuttuh!
Ntagugawana haizidi nusu ya saa!
Kama unatamani tugawane majengo ya sirkali jaribu!
Mwingine Isanga/Maweni na mwingine Muhimbili/Bugando!
Ohooo!
Miti mingine haichimbwi medisini !
Sikutahiriwa hospitali mie ujue?
Zunga nilikatwa pori.
 

Tena nakwambia usinitishe.
Hiki ni kisiki cha mpingo.
Unaleta mikwara mbele ya Jike la Simba?
Unajua nimekoshewa jimbo gani?
Unajua kitovu changu kilipochimbwa?
Jiangalie Shem, sio kila alievaa koti jeupe ukadhani ni Daktari, wengine sisi ni Wauza nyama.
Unapiga sarakasi huku umevaa Msuli?
Tumekuja mjini na Magari ya Mkaa.
Tuna uchungu na Maisha.
 
Sasa Nsuri wakati tunatafuta ulikuwa wapi wewe. Jipange wako binamu zangu Paloma na Madame B wako single wanatafuta kwa hiyo wewe hebu watumie taarifa kabla pia Katavi hajawahi
Usiwaguse kabisa hao wa kwangu bana

binamu Mr Rocky..........yani mie ndo nisebenzwe na huyu............sijui nani ... Nsuri!!! Umenionaje kwa sosoliso wangu?!?!? kweli wewe kabis ando umeandika hapa ama kama kawaid ayako umeibiwa pasiwedi?!?!?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Katavi... Hivi bado unakipenda kifyanyio chako??? Unamfahamu Pou wewe??? Haya danganywa tu.......
Maamaaaaaaa............ Paw huyu huyu au,,,,,,,,huyo labda atanitisha kwa ban na sio ishu nyingine......nitatangaza vita ya hatari, unakufahamu Lyamba Lya Mfipa???
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Pole.......laiti ungejua...!!
 
Kaka yangu watu8 amesema anaangalia atakayekuja na mahari kubwa kupita wote ndio atanichukua.......so kama wewe unajijua hela zako za manati bora upitemo mbali

Umemjibu vyema Mr Pendapenda Erickb52...maana naona anaisakama kweli familia yetu...loh!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…