Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Kwani nimebisha bibie?
Twataizya kalesa, mimi mwenyekiti niko na Mama v na Asnam ingawa tangu shemeji Mentor na mkewe ladyfurahia wapokee mahari kwa niaba ya familia Asnam kapotea jamvini
Heshima yenu wakuu.
Ni muda mrefu sijatia maguu humu CC, nilikuwa nachungulia kupitia dirishani kinachoendelea. Jana nikaingia humu ili kuondoa stress, yaliyonikuta hapo mlangoni huenda hivi sasa ningekuwa nimeng'olewa meno, kucha na kutobolewa jicho. Kisa anajua Mamndenyi...............Sasa ili kuondoa utata naombeni muongozo wa humu ndani, nani ni nani, na kama kuna usajili upya wa kuingia humu fomu zinapatikana wapi....... Baba V, Arushaone, pedeshee Bishanga, Madame B, Erickb52, Mr Rocky na wana chit chat wote, msaada please....