Hakuna utetezi hapo kachemsha ni wale wale kina shigongo type comedy nyingi sana humu siku hizi
Chimala wewe kama Washawasha vile! Post zako zinatuchanganya
hahahahahahaha!!
Mpendwa unatumia kinywaji gani vile?
Hujalikoroga bibie huo ndo ujanja wa kutambua ukweli. Hapa sioni kama unaomba ushauri gani maana ushamjua jamaa sio kabisa.
Piga mbio kama za marathoni
unaweza kula kona bila kuchangia, tatizo hamsomi mkaelewa
Pole kwa kuchanganyikiwa, ni mtu yule yule aliyetaka tuwe gud friends ndo akataka kuja kunitembelea nyumbani, huyu ninaemsema hapa ni mpyaa tumeanza urafiki mwishoni mwa february
Kunyamza ni jibu tosha la mpumbavu
Kama hujui kusoma, hata kuangalia picha pia huwezi??
Ok. lakini ni vizuri ungesema story fupi ya mahangaiko yako hadi hapa ulipofikia. ila unapoomba ushauri wakati sisi wengine tunakumbuka kuwa bado una mpenzi unatuchanganya/
Jana kuna mtu katuchanganya pia anajiita Mamuu55 na pia yeye ni Fanta Face
Nenda hapa kwa ushahidi https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/122504-nisaidie-maoni-ushauri-mawazo-2.html
Huyu tulishaachana, hiyo January alitaka kuja kunitembelea nikampiga marufuku asije, na mawasiliano nae tena sitaki
huyu ,mpya nimeanza nae mwezi wa pili mwishoni sijui kama ulisoma vizuri hizo post
Maswali mengine bana.....
Ukiona manyoya si ndo keshaliwa?
Ha ha ha!....pheeewww!
Ngoja nisepe hii topik (kabla sijatuhumiwa nami nawa-"dikteta" wanachama wapya) !
Pole sana, unajua matatizo hayatokei kwa wakati mmoja, kila tukio limekuja kwa muda wake
hahahahahahaha!!
Mpendwa unatumia kinywaji gani vile?
Any way, kisa chako ni kizuri, ...ila punguza maneno makali kwa wachangiaji...
kesho unaweza kupata tatizo ukaona aibu kuwashirikisha wengine..kama unayoyaongea ni ya kweli, basi chukua ushauri ulopewa hapa
Kumekucha tayari bidada
Huyu tulishaachana, hiyo January alitaka kuja kunitembelea nikampiga marufuku asije, na mawasiliano nae tena sitaki
huyu ,mpya nimeanza nae mwezi wa pili mwishoni sijui kama ulisoma vizuri hizo post
Nashukuru kwa ushauri, ile link uliyonipa nimekukuta wewe na dena mnamshambulia fanta