Nimerikoroga

Hongera kwa kujitahidi kuvumilia....(hebu naomba ufafanue hizi posts)



Great thinker sana wewe....


Pia naomba kupata ufafanuzi wa hii post yako ya January, kabla sijachangia



Sasa hivi naogopa hata kuchangia..utunzi umekuwa mwingi sana!!

Sasa sijui nichukue lipi niache lipi??


wewe Kiboko mkuu hata mie sichangii tena
 
Ulipost July 2010 kwamba mpenzi alitaka muwe marafiki wa kawaida

then ukapost Jan 2011 kwamba unaomba ushauri mpenzi wako anataka muwe good friend..

Hao ni watu wawili tofauti au ni yule yule??

Kama huyu wa sasa ni kweli amefanya hivi...na amekuonesha dalili zote toka mwanzoni, kwa nini ulihangaika kumfuatilia kwenye mitindao (wivu wa hali ya juu)..ulipaswa kumpotezea muda mrefu tu.. au kwa sababu ana gari??

Ila umenichanganya kusema kweli..

Unaambiwa muda mrefu bila mpenzi na sasa ni wa nne tu, Bongo bwana hata siku mbili ni muda mrefu bila kuwa na mpenzi ama kweli tunasujudu ngono...aibu
 
Pole kwa kuchanganyikiwa, ni mtu yule yule aliyetaka tuwe gud friends ndo akataka kuja kunitembelea nyumbani, huyu ninaemsema hapa ni mpyaa tumeanza urafiki mwishoni mwa february

Dada Chimala wewe nadhani wa kule ya ziwa kanda, hivi kiswahili kinagonga au? umeandika baada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na uhusiano....mhhhhhhhhh naogopa dada yangu, muda mrefu ni january to february jamani? U,echemsha dada angu, fikiria kutoka kivingine lasivyo mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Pole kwa kuchanganyikiwa, ni mtu yule yule aliyetaka tuwe gud friends ndo akataka kuja kunitembelea nyumbani, huyu ninaemsema hapa ni mpyaa tumeanza urafiki mwishoni mwa february


makubwa haya sasa, long time == one month
 
Back
Top Bottom