A
Anonymous
Guest
Mimi ni miongoni mwa waliokua watumishi wa makataba katika Hospital ya Wilaya Ubungo UDH.
Kabla sijasitisha mkataba tulikua tunadai fedha za Overtime tangu October 2025 mpaka June 2026. Sasa wamelipa overtime kwa watumishi wengine ambao wana cheque number na hata ambao ni wana au walikua na mkataba.
Tumepiga simu na hata kwenda kwa viongozi kuuliza mstakabali wetu wa kupata haki yetu maana tulifanya kazi na overtime ni haki yetu ila majibu yaliyotolewa hayakuridhisha. Tumejibiwa kuwa sisi tulikua tunajitolea wala sio lazima tupewe tulipewa mwanzoni walituhurumia, pili mpaka wakusanye mapato mengine ndo tuje tupewe.
Swali, suala la kusubiri wakusanye mapato tena kwanini tusingesubiri wote; why walipwe baadhi baadhi tuachwe!?
Tunaomba mamlaka husika Viongozi wakubwa wa nchi watusaidie ili tuweze kupewa haki yetu.