nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Kwa jinsi hii ushauri maridhawa utakupitia mbali kwani mtaka cha uvunguni ni lazima ainue kitandaAcha umaku ww hii issue ni serious aisee
Kwa jinsi hii ushauri maridhawa utakupitia mbali kwani mtaka cha uvunguni ni lazima ainue kitandaAcha umaku ww hii issue ni serious aisee
Wewe ndio ulimlazimisha awache kazi na ukamhakikishia 100% akiwa Dar atapata kazi?
Kwakuwa uko tayari kumpa mtaji na pia kutoa 1ML inamaana uko vizuri kiuchumi na pia unakubaliana nae asikae nyumbani, kwanini hayuko comfortable?
Kwa elimu yake na ufuatiliaji wake wa masuala yanavyokwenda nchini ni kweli hajui ajira ni tatizo la kitaifa?
Hebu ajifikirie tu na aamini yeye bahati yake ya kupata kazi bado na pia wewe huna cha kufanya zaidi kumsaidia kutafuta na kutimiza majukumu yako kama mumewe.Msihi basi akupe moyo na asikuchanganye na wewe ukaharibu hata hiyo kazi moja mliokuwa nayo.
Serious issue huo ungese wako weka pembeni maku ww
Yaani hapo amepata mpango mzuri tu wa kujiajiri biashara zake mwenyewe anataka kuajiriwa hahahhahahaahhahaha au bi fada sijui anapenda kujika mahela huko bank lol
Our God is great hachelewi wala hawahi bali anajibu kwa wakati..just believe tu one day yes .... ila usije mgeuka mana wanaume nanyinyi akili zenu banah ....
Ni kweli mdau sema ndo hvo biashara haiwezi
Kachoka kukaa na wewe huyo.
Nakuheshim na mara nyingi huwa naheshim sana hoja zako ila leo......
Ni kweli mdau sema ndo hvo biashara haiwezi