mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Anitafute nimuonyeshe fursa au hata wewe nipm your number tusaidiane
kuwa vitu watu sijui huwa wanasoma kwa malengo gani!!!
usikute na hiyo ajira ya mwanzo alipigiwa pande tu na ndugu yake aafu akaiacha.
aafu huyo mwanamke ni mwenyeji wa wapi? mtu anaambuwa aanzishiwe biashara hataki kisa anataka kazi za kikoloni? miaka ya leo?
aisee jaribu kumuweka karibu na wamama wanaojihusisha na ujasiliamali, lazima atabadilika tuu!!!
mpeleke semina za ujasiriamali na hv kasoma na hospitalityyy...!!
akisubiri kuajiriwa ni sawa na kusubiri dodo mnazini
Vitu vngne nikisoma huwa nashangaa ni kweli maisha hayo yapo??????????
sababu ya kulia sijaiona hapo sababu option anayo na ni biashara......... labda kama anataka attention yako tu au ndo mahaba yenyewe hayo.
angekuwa na kinacho mkeep bize hata machozi yasingetoka...
yan kazi sina, biashara sitaki, halafu nalia ili iweje labda?? na kama mahaba anayo toka zamani maana aliacha kazi coz of mahaba
Yaani hapo amepata mpango mzuri tu wa kujiajiri biashara zake mwenyewe anataka kuajiriwa hahahhahahaahhahaha au bi fada sijui anapenda kujika mahela huko bank lol
Mke wako elimu haijamkomboa hata kidogo. Huwezi ukawa unang'ang'ania kuajiriwa na kukataa hata kufanya biashara. People are looking to create thier own jobs lakini yeye anasubiri kuajailiwa?
Wewe na mkeo inawezekana akili yenu imeganda. Kama unauwezo wa kumwanzishia biashara, kaa nae ujielimishe wewe na yeye kwamba maisha sio kuajiliwa ila ni kutafra fursa ya kutengeneza pesa!!
Shame on you guy. Samahani lakini.
kuna vitu umeandika hapo daaaa vinanipa shida kidogo.....
1: umedokeza suala la kulinda ndoa.. kwamba ili kulinda ndoa ikabidi aache kazi akufuate wewe daaaaa hii ngumu kweli kweli mim kila siku nasema haya mahaba niue haya sio yaue hadi akili na ubongo ushindwe kufanya kazi.... yan unaanzaje kuacha kazi kisa mapenzi kwa jamii ya leo???
2: Huyo mkeo amekaa miaka mi3 ndani bila kazi..... na umedokeza kwamba amekataa kufanya biashara .. hapa nashangaa kwa herufi kubwa!!!! mwanamke wako hasaidiki pia haleleki unaanzaje kukataa kazi??? hajui biashara ni kazi nzuri sana au alizoea kukaa ofisini??? uwiiiii huyo anahitaji maombi aiseee yani nigande ndani kama utumbo tuliii nasubiri pesa ya kupimiwa kutoka kwa mwanaume??? hii hatari.............
Amelinda ndoa ila kashindwa kushirikisha ubongo kufanya biashara mweeeeeee huyu mkeo yuko na tabu sana kwanin asiangue kilio miaka yote hiyo aanze leo?? kwamba leo ndio uchungu umemshika???
kila kitu ni kujaribu muelishe ajaribu biashara na mambo yataenda safi asifikiri kukaa home kama mgonjwa ndio solution aanze na biashara ndogo ndogo atazoea tu mwisho wa siku atakuwa na biashara kubwa nzuri na ataifurahia
angekuwa na kinacho mkeep bize hata machozi yasingetoka...
yan kazi sina, biashara sitaki, halafu nalia ili iweje labda?? na kama mahaba anayo toka zamani maana aliacha kazi coz of mahaba