Nimepokewa na kilio cha wife

Nimepokewa na kilio cha wife

mpeleke semina za ujasiriamali na hv kasoma na hospitalityyy...!!
akisubiri kuajiriwa ni sawa na kusubiri dodo mnazini
 
Amechoka kukaa nyumbani akati profession yake ni 'leisure' and 'hospitality'...

Mwambie awe creative leisure na hospitality anaweza kuvi apply hapo hapo nyumbani...

kuwa vitu watu sijui huwa wanasoma kwa malengo gani!!!
usikute na hiyo ajira ya mwanzo alipigiwa pande tu na ndugu yake aafu akaiacha.

aafu huyo mwanamke ni mwenyeji wa wapi? mtu anaambuwa aanzishiwe biashara hataki kisa anataka kazi za kikoloni? miaka ya leo?

aisee jaribu kumuweka karibu na wamama wanaojihusisha na ujasiliamali, lazima atabadilika tuu!!!
 
Vitu vngne nikisoma huwa nashangaa ni kweli maisha hayo yapo??????????
sababu ya kulia sijaiona hapo sababu option anayo na ni biashara......... labda kama anataka attention yako tu au ndo mahaba yenyewe hayo.
 
Yeye anachohitaji ni kazi tu mdau

Of course ni sawa, lakini wewe sio muajiri hivyo lipo nje ya uwezo wako. Anavyokulilia mwambie aseme wewe ufanye nini sasa! Kama ni option ushajitahidi kumpa ya biashara kakataa, sasa ufanye nini? Labda yeye apendekeze
 
pole.... jaribu tu kumbembeleza kwa sana... maana ulitangaza million 1 na bado ikawa ngumu.... ila Mungu anahusika kwa sana wakati wote usimsahau kumtanguliza ukijaribu kutafuta tena
 
Ukiona hivyo baaasi jua si wako tena
 
Mke wako elimu haijamkomboa hata kidogo. Huwezi ukawa unang'ang'ania kuajiriwa na kukataa hata kufanya biashara. People are looking to create thier own jobs lakini yeye anasubiri kuajailiwa?

Wewe na mkeo inawezekana akili yenu imeganda. Kama unauwezo wa kumwanzishia biashara, kaa nae ujielimishe wewe na yeye kwamba maisha sio kuajiliwa ila ni kutafra fursa ya kutengeneza pesa!!

Shame on you guy. Samahani lakini.
 
kuna vitu umeandika hapo daaaa vinanipa shida kidogo.....
1: umedokeza suala la kulinda ndoa.. kwamba ili kulinda ndoa ikabidi aache kazi akufuate wewe daaaaa hii ngumu kweli kweli mim kila siku nasema haya mahaba niue haya sio yaue hadi akili na ubongo ushindwe kufanya kazi.... yan unaanzaje kuacha kazi kisa mapenzi kwa jamii ya leo???

2: Huyo mkeo amekaa miaka mi3 ndani bila kazi..... na umedokeza kwamba amekataa kufanya biashara .. hapa nashangaa kwa herufi kubwa!!!! mwanamke wako hasaidiki pia haleleki unaanzaje kukataa kazi??? hajui biashara ni kazi nzuri sana au alizoea kukaa ofisini??? uwiiiii huyo anahitaji maombi aiseee yani nigande ndani kama utumbo tuliii nasubiri pesa ya kupimiwa kutoka kwa mwanaume??? hii hatari.............

Amelinda ndoa ila kashindwa kushirikisha ubongo kufanya biashara mweeeeeee huyu mkeo yuko na tabu sana kwanin asiangue kilio miaka yote hiyo aanze leo?? kwamba leo ndio uchungu umemshika???
 
Hujampiga pipe vizuri this week kamua baba all night long halafu uje utupe matokeo hapa hizo ni nyge
 
Issue ndo kama uzi nilivyoeleza mdau kikubwa anahitaji kazi halali itakayomkeep busy na cyo biashara hawezi mdau

kila kitu ni kujaribu muelishe ajaribu biashara na mambo yataenda safi asifikiri kukaa home kama mgonjwa ndio solution aanze na biashara ndogo ndogo atazoea tu mwisho wa siku atakuwa na biashara kubwa nzuri na ataifurahia
 
Vitu vngne nikisoma huwa nashangaa ni kweli maisha hayo yapo??????????
sababu ya kulia sijaiona hapo sababu option anayo na ni biashara......... labda kama anataka attention yako tu au ndo mahaba yenyewe hayo.

angekuwa na kinacho mkeep bize hata machozi yasingetoka...
yan kazi sina, biashara sitaki, halafu nalia ili iweje labda?? na kama mahaba anayo toka zamani maana aliacha kazi coz of mahaba
 
Issue ndo kama uzi nilivyoeleza mdau kikubwa anahitaji kazi halali itakayomkeep busy na cyo biashara hawezi mdau

Kula tendo LA ndoa usisahau kuombea atanyamaza
 
Dah, yaani bado wasomi wanasoma ili wawe watumwa wa wengine! Mimi naona mkeo ana bahati, kwanza anae mume, na pili mumewe ana kazi.

Mkeo anahitaji kupata ushauri makini. Yaani unakuwa msomi, mtaji wa kuanzisha shughuli ya kiuchumi unao [mshahara wa mume], halafu analilia kutumikishwa!
 
Back
Top Bottom