antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 50,875
- 132,910
Dah,Tukutane TBT alhamisi ijayo.
ya kulalia hii.
Huu uzi utakuwa addictive.
Alhamisi wiki ijayo? Mbona mbali sana? Tupia mapema bhana
Dah,Tukutane TBT alhamisi ijayo.
ya kulalia hii.
Sijaona, kimefanyika nini na picha hiyo?
2. TBT
Muendelezo
Basi maisha ya kumiliki ofisi yakaanza rasmi.
Boss alikuwa akinipenda sana na kunidekeza sana yaani mpka nikawa raha zaidi kuwa ofisini kuliko nyumbani.
Kipindi yotee haya yanaendelea nilikuwa bikra yes nilikuwa bikra!!!!! Nilikuwa nimehaidiana ku oana na kijana mmoja hivi kwa sasa ni moja Kati ya madaktari bingwa hapa Tanzania.
Boss ikawa kila safari na mimi nimo,, akafanya mpango mpaka nikawa napelekwa na kurudishwa nyumbani na gari ya serikali japo cheo sina.
Nikahamishwa jengo na tukawa rasmi jengo moja na boss.
Basi Kuna siku boss akaja ofisini akaniwekea bahasha ndani ilikuwa na pesa kama laki5 hivi..[ ukweli mi napenda pesa niliiipokea vizuri kabisa na nilifurahi sana]
Basi kesho yake akaja ofisini kwangu akasema tutoke sikukataa nilikubali.
Jioni dereva alinipeleka sehemu husika nikatumia hapo chakula na vinywaji boss kaniimbisha!!!!
kiukweli boss wangu alikuwa ni moja ya viongozi ma handsome kwa wakati huo na pesa kwake haikuwa tatizo na ubahili ndio hana kabisaaaa.
Alihitaji kunimiliki kabisa.
Mimi nilimueleza ni bikra na nina mtu anaetakiwa kuitoa.
Boss kusikia hivyo alidata na akaniambia hajawahi kutoa mwanamke bikra na hata mkewe hakumkuta nayo.
Nilibembelezwa siku ile lakini nilikaza nikimkumbuka boyfriend wangu sikuweza.
Basi nilirudishwa nyumbani na kuanzia hapo nikaanza kubanwa,, chakula nikawa naletewa lunch box,, tukisafiri tuna lala hotel moja na vyumba vinaangaliana.
Mimi nina mama zangu wadogo mashangingi wa enzi hizo nikawaelezea hitimisho ikawa niende kwa doctor anitoe bikra then nije kwa boss.
Boss nilimshirikisha akaniambia nakupeleka mwenyewe mkamalizane tuanze mapenzi yetu
Huku doctor wangu alikuwa bugando pale anasoma na masomo yake mwenyewe.
Nilienda bila taarifa na alinipokea kilichoniumiza zaidi alikuwa tayari ana mwanamke na ana mimba.....
akaniambia ooh! nisamehe nisingeweza kukusubiri oooh! utakuwa mke wa pili!!!!!.
Aiisee hakuna kitu iliniuma kama ile........
Tulifanya mazungumzo kama masaa mawili hivi...
Mi nina misimamo yangu niliona ni bora bikra niipeleke huku kuliko kumpa mtu ambae alishindwa kunisubiri.
Kutoka zile hostel za Kiume pale bugando mpka getini nilienda namlaani.
Dereva alikuwa ananisubiri na nilikipeleka kweli hatimaye boss alinitoa bikra nakumbuka mpaka machozi yalimtoka...
Maisha mapya yakaanza ya mahusiano mahusiano ambayo sikuwahi kujutia hata kidogo...........
Mama zangu wadogo walinishauri na boss akakubali nikahamishwa ofisi na kidogo nikapata ka cheo lakini kazi na ratiba zilikuwa zinafanana sana.
Hayo yote yanatokea nilikuwa kama nina miaka 23 au 24.
Tulisafiri nilikula bata za kila aina.......
Boss alinijengea nyumba maeneo ya CINE CLUB kwa wenyejiwa dar wanapajua.
Yote haya yakiwa yanaendelea nilikuwa napenda sana kusali,, hapo katikati nilichaguliwa kuwa muhasibu vijana jimbo kitu ambacho kilinikutanisha na mrembo mmoja wa enzi hizo ambae alikuwa anatoka na mkuu wa nchi pamoja na askofu fulani hivi......
.
Nawarudisha nyuma mimi sikuomba kazi bali mjomba wangu ndio alinipeleka kwa boss siku ya interview na boss kumbe alielewa mzigo na ndio maana nilipita bila kupingwa.
Ndio maana yule dada kwenye tbt namba moja alikuwa akinichukia sana.
na pia kwa wakati huo mimi nilikuwa nasafirisha dhahabu za mjomba wangu na wenzie.
Yaani ikisha chomwa natoa kwao na kumpelekea boss ambae anawapa pesa za kununulia na ndio mdhamini mkuu.
Hiyo nimeeleza kidogo ndo uelewe connection iliyomfanya mjomba kumjua boss na mpka mimi kupelekwa kwa boss siku ya interview na kupata kazi.
Maisha yakasonga boss akaja nyumbani kutoa mahari......
Na kwa msaada wa mjomba wangu [ Apumzike kwa amani] boss alitoa ng'ombe 50 za kutembea na tulifanya mambo ya kimila hapo boss rasmi akawa mume kwa desturi za kisukuma.
Lakini hapo kwa msaada wa mama wadogo na mjomba wangu kwa boss tulikuwa kikazi zaidi.... japo nilikuwa nampenda kidogo.
Tukutane TBT alhamisi ijayo.
ya kulalia hii.
NB;
Nilipanga niwe natupia picha japo zile ambazo mimi naonekana sana mpka mwisho wa story mngeona nilivyo kwa sasa ila mmenitisha.
Twendeni hivyo hivyo bila picha.
Hahaha,tupia basi hata kapicha ambako unaonekana shingo tu?
Daaah,Boss alitaka kumiliki mbunye na sio mke. tulia huko mbele utaona.
Maoni ya wengi yaheshimiwe muendelezo unakuja muda mfupi ujao.
leo dada 😚😘TBT 3
Maisha ya mahusiano yakaendelea vizuri huku nikifanya kazi kama mwajiriwa na kufuata taratibu zote.
Boss nilianza kumpenda ile kweli kabisa na niliwaza namna gani ya kumdhibiti.
Niliwashirikisha mama zangu wadogo ambao walikuwa mashingingi kweli kweli mama zangu wadogo wakasema kesi ndogo......
Wakaniunganisha na bi chau,, huyu aliyekuwa muigizaji na mtangazaji sijui kama bado yupo!!!!
Bi chau alihitaji alipwe fedha na mafunzo aliniandika kwenye kitabu chake ni wiki moja.
Basi boss nilimshirikisha nilipewa id ya wiki moja na pesa akanipa nikaenda rasmi kwa bi chau na kukaa kwake wiki nzima.
Nilifunzwa misamba na mibinuo ya mbunye. kiufupi nilifundwa.
Pale nilikuta baadhi ya mashangingi ambao ni kama wasaidizi wake pia walikuwepo wasichana,, ma bi harusi watarajiwa na baadhi wake za watu.
Nilijifunza mikao mbali mbali ya kumkalia boloo young, unyonyaji, ushikaji massage za kiswahili mikatiko mbalimbali. kiufupi pale kama ni award basi nilipata masters
Darasa likaisha rasmi nikaingia ku practice!!!!!!bwana weee bi chau kama uko hai shikamoo wewe bibi.
Bwana alikuwa anapiga mayowe na kupumua kama ng'ombe anaechinjwa kutokana na yale mafunzo na mimi nikawa na enjoy zaidi,,, aibu sikuwa nazo tena.
Ndo hapo bwana alipoenda kutoa mahari na kunipatia nyumba.
Nakumbuka bi chau alitupa mabomu mwenyewe anasema ukiona bwana kalega lega huelewi mtupie kombora lako moja muache atulie.
Basi ikawa kazi ni moja,, wikiend ni kujifungia na boss kazi moja kufanya matusi!!!! wee akisafiri begi lake nipo nipo pembeni
Mnakijua kipindi cha nirvana???? mnamkumbuka ABBY yule mtangazaji msouth africa???
Alikuwa na darasa la table manners, cat walk na darasa la fashion.
Alikuwa anacharge kwa dollar.
Sababu ya kuingia hilo darasa mimi sikutaka kuwa local na nilihitaji kujua vitu kiasi kwamba boss asiniache popote pale zingatia protocol
Nikaanza rasmi hapo,, hapo nilikutana na wadada wengi sana wa mjini na darasa ilikuwa jioni kila siku kwenye hotel moja ipo posta mpaka sasa.
Nilijfunza kuongea, kula kutembea kiofisi kimahaba!!!!!! nilijifunza kutumia mikono na umma kijiko na kisu nadhani mnaelewa. hapa genz hamuwezi kuelewa ila wahenga wanaelewa
Hilo darasa lilinisaidia sana mpka muda huu tunavyoongea.
Nikawa niko kamili hapo nikawa transformed kutoka fresh from school na kuwa dada fulani hivii.
Nikapata passport maana ABBY alikuwa akituambia huwezi kuwa LADY harafu huna passport.
Basi kuanzia hapo boss hakuwa na kigezo chochote cha kuniacha popote pale atakapo kwenda.
Siku moja niko ofisini asubuhi!!
akaja mama mmoja alikuwa wa moto sana enzi hizo,. shangingi la ccm,, kumbe bwana boss alikuwa mtu wake
wapenzi kitambo sasa penzi limekata kufatilia ni mimi.
Bwana ee alikuja na wapambe wake weee!!!!! nilichambwa jamani nilizodolewa mimi!!!!!!!!!! na siku hiyo boss hakuwepo alikuwa na kikao.
Nilipiga kimya chezea mafunzo huku ya Abby kule bi chau.
Ofisini sikuwahi kuwa na bifu na mtu basi,,, taarifa zilifika chap kwa boss hapo mpaka simu nilinyanganywa dereva alifika kumtoa huyo mama wapi!!!!!! kumbuka huyo mama alikuwa na cheo huko juu kabisa sijui ni baraza kuu kule ccm pia kama naibu hivi sasa kulikuwa hakuna wa kumgusa.
Si unajua mwanamke akiwa na cheo.
Niliundiwa zengwe mpaka kwenye ajira.
Jioni yake boss alikuja kunichukua yeye mwenyewe,,, mie tena nilimpa mapenzi kmanina ya kwenda tena hiyo siku ndio alimuacha rasmi yule mama,, na simu tuliifata kwake usiku japo mimi sikuingia ndani.
Ugomvi haukuishia pale kumbe yule mama aliniendea kwa sangoma na kunipiga kipapai.
Nakumbuka nilikuwa nakunywa Chai asubuhi sijui nini kilitokea nilijikuta muhimbili nimezungukwa na familia.
Nashtuka hivi nataka kuinuka siwezi kumbe nilianguka kifafa na kupalalaiz upande mmoja.
Nilijitahidi kuinuka kwa msaada mwili ulikuwa mzito na niliona nyota nyota na kuanguka tena.
Basi kikao kilikaa hapo ikawa haina namna ni kwenda kinda ya ziwa.......
Boss alitoa gari mjomba alikataa kupewa dereva alitafuta mshikaji wake nikaenda. ndani ya mwezi mmoja nilipona na tulienda mpka kwa bibi mwingine huko bukoba kukazia utamaduni.
Nilikaa nje ya ofisi miezi miwili, nikajikoki nakarudi kazini.
Kazini awamu hii sikwenda kizembe tena niligangwa na kombora nilirudisha kwa bibi yule. mpaka Leo alishapotea kisiasa na alipotea kizembe bado sijasikia kama alikufa. Ni bibi mmoja hivi Kuna jengo moja mjini dar lina jina lake
.
Kuanzia sasa sitataja majina mazito humu.
NB; Moja ya picha zangu enzi hizo miaka hiyohiyo.
Kihere here chenu sitapost full picture tena nimekoma