Kadada kachawi sana hako 😂
Nshakaona mda tu nakavutia kasi kaingie 18 zetu sku moja 😂
Kadada kachawi sana hako 😂
H sio nyoka tuu, au mm ndo fungu la kukosa lenyewe tulilokuwa tunalisikia? 😂😁😁 Hii ndio ile unatupa ndoano uvue samaki unanasa chura au nyoka
Sijui kinge mahi 😹I don’t know what’s going on, and honestly
I don’t want to be involved
I’d really appreciate it if you could leave me out of all this
Please respect my decision 🙏🙏
NB: Sina mafumbo na mtu naomba niacwe hii ni last reply 🙏🙏
Tutakachapa 😂Nshakaona mda tu nakavutia kasi kaingie 18 zetu sku moja 😂
😁😁 Jamani basi mimi huwa tunapishana siku hizi simuoni au ni vile lile jukwaa lake pendwa sintembelei mara nyingiKwanza isije kuwa tunamsemea tofauti
Mie namuona kila nikiingia huku
Sis, umemsahau shemeji yako ee?
Ila ww mpuuzi una roho mbaya sana na mm 😂 usione nasemwa kwa mazuri lazima upandwe na kisukariHujui kuchagua marafiki sahihi kijana, rudi ujitafakari upya!
kwani wewe si sahihi kuwa rafiki?Hujui kuchagua marafiki sahihi kijana, rudi ujitafakari upya!
Hahaha sio kweli nakutakia tu mema, huyu chokoraa hamtafika mahali..😆
😹😹😹 Wala hakuna code mambo ni yale yale ya kila siku, kubebeana mabwana na kila mmoja kutaka kuonekana yuko juu kuzidi mwenzie.. na urafiki wa kingese ndo chanzo kikuu 😹
Wanasemana pm eti wengine wazee lakini vibibi 😹
Usinihusishe huko kwenye kumpoteza, mm n mfano wa kuigwa, ww kama n maandazi bc n ww mwnyw 😂Amekosea njia, tutampoteza sisi😆
Nikupandishe? 😹Au wewe ndiyo yule dada wa dukuduku na hatujui 😆
Unapenda sana umbea na ugomvi!
Fala ww 😂Hahaha sio kweli nakutakia tu mema, huyu chokoraa hamtafika mahali..😆
Katika ubora wako onbaomba wewe hata w asingeweza kukuweka maana unatia aibu!Au bora unipe mm 🥱
Tatizo una mambo mengi 😁H sio nyoka tuu, au mm ndo fungu la kukosa lenyewe tulilokuwa tunalisikia? 😂
Astakafirilah mtumishi wa Mungu, mbona unanifananisha na watu wazito sana, hizi sifa siwezi kuzibeba, nitueni 😂
Labda wote tuwe na pesa nchi nzima 😹Sasa kama wenye nchi wametunyima amani si walau tuwe nayo ya kwetu basi 😁
😆😆😆Long time ulienda wapi?
Eti inasemekana de Gunner anayasambaza mtaani kuwa mimi na wewe tunamilikiwa na yeye na kwamba ametuonea huruma sisi sio type yake 😩
Kuna mambo mtaani. (Kwa sauti ya Diamond)
Dah ww dogo mbona una roho mbaya hvy, bc nipe ww 😂Katika ubora wako onbaomba wewe hata w asingeweza kukuweka maana unatia aibu!