Mm yangu sio siri, ngoja nifungue files zako πHakuna siri ya watu wawili, ukisimlia ya mwenzio na yako vilevile yanasimliwa huku! Yamwage tuone maajabu! Nywanoko!π
Tena utulize kabisa π€£π€£Heri nitulize mbupu? ππππ
Mtaishia kujitesa bure nafsi zinaugulia chinichiniπMpaka tukuue
Nikumbushe, hivi huwa mnayependea nini vile?Makebo yamezidi kupata umaarufu jukwaani.
πΉπΉπΉNini kinaendelea jamani? nani anamcrush nani?
makaveli10 au ni wewe unakrashiwa?
Mama labla, nikupe dkk ngapi uwe umelala?Asee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe π
Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu
Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema π
Fungua tukuchangie hata ela ya msosi, utafanyaje sasaπ€£Mm yangu sio siri, ngoja nifungue files zako π
Wewe muache mama labda hajakuwepo jukwaani kitamboπMama labla, nikupe dkk ngapi uwe umelala?
π€£π€£π€£ Ipo siku litakukuta jamboEh kudadeki, Asalamaleko shekhe π
Mlikuwa wa dhahabu, sasa ni full ushangingiπ
Wenzio wanavyo we unakwama mahalaπ
Hizi crush umezichagua kwa vigezo vipi? The ice breaker anachamba huyoooπ«’
Ila hiyo crush ilikuwa utani tu jamani naona watu limewagusa mpaka wanataka kutoa siri zao za nje, sijui wanamtishia naniπ
Ila π€£π€£Asee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe π
Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu
Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema π
Haya nimefika, kuna umbea gani mwingine?πΉπΉπΉ Nilitaka ufike nikupe hapa hapa..!!
Aliyeniletea hakutaka kuona nasemwa kwa mambo ya uongo akanyamaza.Umbea wa jukwaani wa live kupeleka pm unakuwa haunogi..!! Pm zipelekwe pm zilizovuja ndo vitu napentraaaa..!! πΉ
Aliyekuletea ana kiherehere mwambie akakazwe na mizimu ya kwao..!! πΉ
So n kama wanapigia mbuzi gitaa au sio πMtaishia kujitesa bure nafsi zinaugulia chinichiniπ
View: https://www.instagram.com/reel/Dc0O3LkK6Im/?stkn=OGJ0anR1cmZma2dk
Aisee watu mna bahati! Wengine ndio mpaka utungwe umbea wa uongo ndio uupate! Kuupata freshy ni ngumuuπ€¦π½ββοΈAsee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe π
Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu
Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema π
Mama labla, nikupe dkk ngapi uwe umelala?
Ah ww c nakujua kwa kiasi fulani, huwez kuwa na zile ndeziHaya nimefika, kuna umbea gani mwingine?
Aliyeniletea hakutaka kuona nasemwa kwa mambo ya uongo akanyamaza.
Also niliona Mbaga Jr ananitetea kwenye ule uzi, kwamba huyu chiwawa siyo level zangu, ni mtu wa maana sana mpare wangu!
Tulia nikupakulie minyama mpare π πHapo sio kweli, umeweka chumvi nyingi π
Mm c ndo kichwa cha familia, ww lala mm namalizia kuweka ulinzi fresh πππ
Nakusubiri tulale wote baba labla
ππ Ila we dada ni mchochezi, hupendi amani kabisaπΉπΉπΉπΉ
Wewe yule uliyemchamba fake p mpaka akaomba uwanja selfika au mwingine??
Em yaseme hayo unayoyajua ila hutaki kuyasema kwanza ndo tukutoe..!! πΉπΉ
Weyee bhana mambo unayajua em mwagika hapa utoe dukuduku mtaishi kwa kufumbiana mpaka lini? πΉ