Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂


JF ya sasa bado ina hizi mambo kumbe

Nilidhani tuliyaacha 2016 - 2020 huko wakati ule nasikia watu wana vikundi vyao humu vya kukingiana vifua kwenye shida na raha 😂

Sema mie sijui nina shida sehemu, miaka yote hii nimeshindwa kupata kakikundi hata kamoja ka kunitetea hata jinsia yangu tu? 🤣 kuna sehemu siko sawa

Ifike mahali nipate hata ka-crush ka kugombaniana na watu wa humu kmmk
Crushie zangu mshamba_hachekwi na The Icebreaker nisiwaone mnacheka na jinsia inayojitambulisha kama ke humu 🤨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…