Natamani kimkute Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah alete ushuhuda kwa masikitiko namna hii 🤣🤣🤣

Vipi kama wetumwa kwako 😄Kuna watu kwa mionekano yetu askari hawezi kukushushia kipigo from know where.
Na uhakika Mimi kwa muonekano wangu nisinge pigwa Hilo nakuhakikishia.
Pole ndugu pole sanaa
Dah pole mkuu ila na wewe elimu yako Hai kusaidia ukaacha tu kupita maeneo yaliyo katazwa?Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.
pole gentleman,Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.
hiyo mbona ni tamaa mbaya gentleman?Natamani kimkute Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah alete ushuhuda kwa masikitiko namna hii 🤣🤣🤣
Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.
Hapana, inatakiwa hivyo ili mjue nchi inahitaji mageuzi mengihiyo mbona ni tamaa mbaya gentleman?
lakini pia ni ramli useless kweli 🐒
kwahiyo wanishushe kwenye ndinga halafu wanishushie kipondo, right?Hapana, inatakiwa hivyo ili mjue nchi inahitaji mageuzi mengi
Nilikuwa smart mkuu ndicho kilichoniokoa nikaitwa na askari nitoke ila wale masela niliwaacha ndani kituoni.
😂😂😂 Kipindi tunakoswa na risasi kimara alikua anatuona wajinga leo anasema hawa polisi wana njaa
Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.
Utasubiri sana ndugu yangu mtanzaniaNatamani kimkute Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah alete ushuhuda kwa masikitiko namna hii 🤣🤣🤣
Piteni kwenye njia rasmi kama binadamu waliostaarabika na kuepusha kuwapa wahuni nafasi.Kuna njia hapo mkuu