Police brutality is the excessive and unwarranted use of force by law enforcement against an individual or a group. It is an extreme form of police misconduct and is a civil rights violation. Police brutality includes, but is not limited to, asphyxiation, beatings, shootings, improper takedowns, and unwarranted use of tasers.
Former JKUAT student Allan Omondi ameshinda kesi dhidi ya serikali baada ya High Court kuamuru Inspector-General of Police pamoja na Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) kumlipa KSh 8 million kama compensation kwa police brutality, unlawful detention na violation of his...
Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia.
Ngoja niwape hii story.
Sehemu flani hapa Dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku halafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida...
Former Chief Justice David Maraga has criticized the government's plan to compensate victims of police brutality without prosecuting officers responsible for the alleged abuses, arguing that justice cannot be achieved through financial compensation alone.
Speaking during a television interview...
Kuna taarifa mbaya ameitoa Mnyika kuhusu kesi ya Lissu kesho with regard to police force.
To me;
Chadema na watu wenye mapenzi mema chukua tahadhali, wanaweza kuua watu , kuumiza, kujeruji and all sort of brutality you can think of!
Naona kama wanajenga premise za kuvunja, kuua, kuumiza watu...
A resident of Mbarara City has accused a police officer attached to Katete Police Post of subjecting him to torture during interrogation over a motor vehicle theft case.
Junior Musa, a resident of Katete Central, claims he was physically assaulted by a junior officer who allegedly beat him for...
IPOA has deployed a rapid response team comprising monitoring and investigation officers to Kitengela to conduct independent inquiry into the fatal shooting incident that occurred on 15th February.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.
Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...
Bakari Ubena - Dw Swahili
Kumeibuka hali ya kutia wasiwasi barani Afrika ambapo watu wanaofichua taarifa mbalimbali hawapatiwi ulinzi wa kutosha baada ya kufichua maovu, na mara nyingi watu hao hujikuta wakijipigania usalama wao na wa wapendwa wao.
Wafichuaji hujikuta wakilaazimika kujilinda...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, IGP Japhet Koome amejiuzulu.
Rais wa Kenya, William Ruto ameridhia kujiuzulu kwake.
=====
NAIROBI, Kenya July 11, 2024 – Kenya’s Police Chief Japheth Koome has resigned following mounting pressure over police brutality during recent protests that rocked...
“Ukikuta kijana ameingia ndani kwa kuvunja dirisha ujue kuna mambo mawili ameyadhamiria. Jambo la kwanza amedhamiria kuiba na jambo la pili amedhamiria kuua na jambo la tatu amekubali kuuawa. Naomba nisisitize, jambo la tatu amekubali kuuawa, naomba nirudie, jambo la tatu amekubali kuuawa...
Tanzania is slowly turning into a brutal Police state right in front of our own very eyes, yet we are doing nothing about it. Police brutality is slowly reaching unbearable limits as witnessed by us all day in and day out, yet we are all quiet about it. The audacity of the police force to beat...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.