Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,234
- 40,237
Mkuu ulivaaje? Unaweza ukatuelezea kwa kifupi muonekano wa sura yako? Tusije tukaanza kuwalaumu polisi bure tu.
Can someone be labeled a criminal suspect simply by looking at their demeanor??Mkuu ulivaaje? Unaweza ukatuelezea kwa kifupi muonekano wa sura yako? Tusije tukaanza kuwalaumu polisi bure tu.
Mkuu hawa mapolisi wetu wenyewe division 0 za form 4 unafikiri wana akili? Wewe ukiwa sehemu ukaona watu wanakimbia polisi na wewe unganisha nao tu. By the way, it was just a joking.Can someone be labeled a criminal suspect simply by looking at their demeanor??
Ina maana mkuu una sura kama ya vibaka! Yaani polisi hawawezi kutofautisha raia mwema na vibaka?Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia.
Ngoja niwape hii story.
Sehemu flani hapa Dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku halafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa, nimekula virugu, fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi.
Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo.
Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.
Jitu linatembea uku linachati badala ya kuangalia mita 100 mbele kuna hali gani [emoji28][emoji28]
Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia.
Ngoja niwape hii story.
Sehemu flani hapa Dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku halafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa, nimekula virugu, fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi.
Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo.
Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana
yani wangemtima na kilema kabisaUlijua hutafikiwa ee?
Wangekuua kabisa takataka ghasia wewe.
MO29 hiyooo imebaki saa chache ila kiukweli hakuna maandamano tena itakuwa siku tulivu mno kwa kuwa hamtaki kuambiwa ukweli ruksa kutoa povu.
- Faru01
- hakuna maandamano maandamano
- Replies: 9
- Forum: Jukwaa la Siasa