Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia.
Ngoja niwape hii story.
Sehemu flani hapa Dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku halafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa, nimekula virugu, fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi.
Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo.
Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.