Nimepigwa na Polisi bila hatia

Nimepigwa na Polisi bila hatia

Likijana la mbogamboga kimekutana kipigo heavy kutoka kwa mbogamboga wezie mamaee[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku yakikamatika uwa yanapigea kwelikweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yule shekh alipigwa chuma yupo ndani ya futi 6
 
Halafu sehemu za makaburi ndio wahuni wanapovutia bangi, bangi za makaburini lazima zikuchanganye akili...
 
Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.
Hilo jeshi mitaala yake huwa inafundisha kutumia nguvu zaidi kuliko akili.
 
Kazi ya laana ile huwa hawana utu wala huruma kama mbwa aliyepewa kazi ya kung'ata. Huwa hawaangalii ni nani na unafanya nini. Watu wengi sana wamepewa kesi au kufungwa bila hatia.
yule ni mwenzao.
 
Wakuu poleni na majukumu. Nimeamini sio kila aliyepo jela anayo hatia. Ngoja niwape hii story, Sehemu flani hapa dar huwa kuna njia inapita makaburini na tumezoea kupita kila siku alafu maeneo hayo huwa kuna wahuni wanakulaga bangi, Jana mchana napita niende kwenye harakati kama kawaida kumbe kuna polisi wamelizunguka eneo hilo mimi sijui nashangaa wale wahuni wanakimbia nikawa sielewi nini kinaendelea mara nikakamatwa na wale masela waliokuwa wanakimbia baadhi wakashikwa wakaanza kupewa kipigo na mimi nikaunganishwa kmmmmk nimekula virugu,fimbo kipondo cha maana hadi wamepasua simu yangu kioo nawaeleza mimi sio hawanielewi. Tukapelekwa kituoni wakanimbia ili nitoke niwape 20k, muda huo nilikuwa na 10k tu wakapita nayo. Leo niameamka mwili unauma kinoma sijawahi kupigwa hivi toka nizaliwe. Sema polisi wetu wana njaa sana🚮.
Kwa tulipofikia kama donat ipo salama sema alhamdulilah
 
picha tupia
 
Hiyo inaitwa wrong place at the wrong time

Ova
 
Mambo mengine unajitakia mwenyewe.Nchi hii ni hamza kanuni.

We unajua hayo maeneo sio salama alafu unapita.

Sawa na ukatize keko njia VETA kwa mguu ukiamini hakuna vibaka
 
Back
Top Bottom