Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,617
- 22,524
Hutaki iwe hivyo au hupendi iwe hivyo, embu fafanua kidogo!Mkuu sasa kwa hali ya humu jf kweli bi mdashi et awe ana log in...
Imagine tuu
Hii hapana sitaki iwe hvo mkuu
We kuweza kuwa mstaarabu...Usihame mkuu, ila kuwa tu mstaarabu
What if ndo yeye..๐๐Au nyuzi za Tajiri hana baya๐๐
simu ya mama,mke? au mama mzazi?Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Mkuu mbona umekamia swala la ku selfika.. kwanza yeye hayupo hapa tuna assume tuu bado hatujajuaWanaselfika alafu wanafuta faster,huwezi ona..
Usijaribu kuingia PM...
Kuna I'd ya Binti sayuni03 ndio Wewe!Sijakuelewa mkuu
Ndiyo naweza si unaona sishushi nyuzi za wababaz๐๐We kuweza kuwa mstaarabu...
Ngoja nianze kuchunguza kwanza
Ndiyo hii ilikuwa nimeibadilisha juziKuna I'd ya Binti sayuni03 ndio Wewe!
Nakubali kaka ni bimkubwa.. ila humu kumbuka kuna nyuzi nyingi mno za elimu, biashara, kilimo, mapishi, siasa n.k sasa ye huenda alisachi kitu Google afu kwenye kufungua ile link ikamleta direct humu akaamua aichukue app kabisa ..Mkuu huyu ni bi mkubwa ujue..
Hilo jambo hata wewe lingekushangaza mi ndo nilinunua hi simu alafu... Hii ya leo imenistukiza sana
Hajui mkuu wasi wasi unakuja je ka login au laah..
Haiwezekani yule tajiri ni mwanaume bwana๐๐What if ndo yeye..๐๐
Huwenda mkuu ila daah hii imenifanya nishangae mpaka sasa...Nakubali kaka ni bimkubwa.. ila humu kumbuka kuna nyuzi nyingi mno za elimu, biashara, kilimo, mapishi, siasa n.k sasa ye huenda alisachi kitu Google afu kwenye kufungua ile link ikamleta direct humu akaamua aichukue app kabisa ..
ni maoni tu we endelea kupigwa na butwaa ๐
Humu ndani changamoto sana, unamjua kokastik? Yule jinsia yake vipi anu ndo mixer๐๐๐Haiwezekani yule tajiri ni mwanaume bwana๐๐
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
We jamaa kuwa na adabu na bi mkubwa
Yule sijui jinsia yake maana anachanganya sana๐๐Humu ndani changamoto sana, unamjua kokastik? Yule jinsia yake vipi anu ndo mixer๐๐๐