Nimepigwa na butwaa

Huyo mamaako Ana Umri gani
 
Mkuu sawa wapo watu wengi tu..
Ndo mama angu awepo mkuu just imagine et anasomaga nyuzi za Vishu Mtata
It doesn't matter.. ndo mana pale kwenye kujisajili JF kuna kipengele cha kuweka umri wako na mwaka wa kuzaliwa, ko nadhani hata kwake zitakuwa zinakuja nyuzi za maana hazitokuwa zinakuja nyuzi za hovyo kama unazokutana nazo wewe 😀
 
It doesn't matter.. ndo mana pale kwenye kujisajili JF kuna kipengele cha kuweka umri wako na mwaka wa kuzaliwa, ko nadhani hata kwake zitakuwa zinakuja nyizi za maana hazitokuwa zinakuja nyuzi za hovyo kama unazokutana nazo wewe 😀
Mkuu huyu ni bi mkubwa ujue..
Hilo jambo hata wewe lingekushangaza mi ndo nilinunua hi simu alafu... Hii ya leo imenistukiza sana
 
Unae weza kua unabishana nae sana humu anaweza kua kumbe ndio rafiki Yako sana mtaani mnae saidiana kwa shida na Raha.
Hata Mimi nimeshtuka sana kusikia kwamfano huo wa mama yaani inaweza kukustajabisha sana ukawa unatuniana misuli na mababa feki humu🤣🤣🤣
 
Mkuu nimefuta hata sijaichunguza aisee naogopa tuu mpaka sasa selewi why ana hii app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…