Nimepigwa na butwaa

Kwel wewe ni Poor Brain kwanza mama ako huenda niwale great thinkers. au ni #cocastic.
 
Ni mtandao wa maficho
 
Kwani wewe ulipojiunga ulimfahamisha? Jamii Forum inazingatia ufaragha wa mtu hivyo mama yako pia anahitaji platform ya faragha. Tena ukute huwa mnajibizana ujinga humu anakuchora tu
 
Pengine mama ako ndio mchepuko wangu humu, jf bana
Au kashaenda kumuimbisha pm maza ake si anapenda mishangazi,, ipo siku jf itazua balaa humu ndani, watabebishana m/flirting mtu na baba au mama, ama dada na kaka, mpk wakajuane tayari mmoja ameshafall kwa mwenzie,.......aibu iliyoje
 
Nilijiuliza sana imekuwaje app iji uninstall yenyewe kumbe ni wewe mpuuzi,Sipendi mchezo na simu yangu alaaaaa!
 
Kwani wewe ulipojiunga ulimfahamisha? Jamii Forum inazingatia ufaragha wa mtu hivyo mama yako pia anahitaji platform ya faragha. Tena ukute huwa mnajibizana ujinga humu anakuchora tu
Ety faragha... Hili neno limekaa kitapeli tapeli sana aiseee
 
Nipo hapa Oliver Tambo International Airport mwenyeji wangu anakaribia....kumbe huku ndio unatumia jina la ajabu kiasi hiki my son?why?
Mama tabadilisha sio mda...
Ila naomba kama ukifika nitumie pesa ya chuo maana boom alitoshi...

Mi chakula cha chuo sikiwezi na unajua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…