Nimepigwa na butwaa

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mkuu hapa nataka niongee na mdogo angu nijue je ni yeye kaweka au ni nani..

Alafu nifatilie je huwa ana log in au anaangalia habari mbali mbali
Mkuu mbona tiyar ulikua kwenye hiyo opportunity ukakimbilia kui uninstall?
 

Atakuwa ndo MamaSamia2025
 
Kosa lako niku Uninstall Poor Brain
 
Ndiyo maana binafsi tangu nimeanza kuitumia JF tangu ikiitwa Jambo Forum, sijawahi kuifungua mbele za watu achilia mbali ku-download App yake

Kuna Siku nilikuwa nasafiri kwa basi kutoka Dodoma kuja DSM kabla ya SGR, kutokana na addiction ya kutumia JF nikajikuta nime-Login.

Nilikuwa nimekaa na binti fulani around 27-32 hivi, Baada ya kuona yupo busy kutaka kujua ID niliyokuwa naitumia ikabidi haraka ni-Logout

Hachelewi kuja kusema humu amekutana na Mzee Grahams bure, na hivi ninavyotumia mkongojo kutembea 😜
 
Mimi huwa natumia popopote pale siogopi kitu Kuna demu nae alikuwaga anapiga jicho akaona Id yangu akaaanza kusema kumbe wewe ndio Vincenzo πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwache bi mdashi ajiachie wewe,ukute humu ndio anapata faraja ukikuta siku ana peruz app za porno si utajiua wewe!Halafu ukome kugusa simu ya mama yako hiki Kizazi sijui kikoje!!!
 
Nikiwa maeneo ya karibu na watu huwa natumia ile ID yangu nyingine ila nikiwa alone natumia hii ya kubwa la maadui mr machale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…