mama yako usalama...kaa nae kimitegoWasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Si unajua wazee wanaowashwa na pesa.Duuh sasa mbona hatareee hiyo..
Huyo ndgu yako nae yupo motroooo πππππππππ
Imejua kuniwazisha.. na Bora awe ni mtu wa kupita tuu sio wa kukaa hapa jf mazima kwa kweliBasi kama ulikuwa unamchukulia mama poa basi usimchukulie tena poa.
Najua ulitegemea utaishia kuona FB app na Whatsap.
JF kwasasa haishangazi tena kumkuta mtu yeyote, mijadala mingi ya JF inayokuwa shared kwenye mitandao mingine ya kijamii inawafanya watumiaji wa hiyo mitandao kuifahamu na kujiunga na kuwa watumiaji rasmi.
Sema haina mvuto sana kwa wasiopenda maandishi na wapenda umbeya.
Unaishi nyumbani kwa mama?Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata kuifungua ila nime unstaill aiseee....
Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Bado najiuliza kama anatumia jf au laah..
Nimepigwa na butwaa...
Wakuu mjiheshimu kuna watu mna assume ni mtu flani.. nimesema sijajua kama kajiunga au laa
Sizani... Angekua usalam ningekua najua..ila hi ya jf lazima nifatilie vzr aiseeemama yako usalama...kaa nae kimitego
Ukamtega bana...Si unajua wazee wanaowashwa na pesa.
Na nilijua tu bamdogo akiona profile yangu Fb lazima aje inbox.
Hapana mkuu.. mama pia hakai tz hapa leo kafata mzigo... Ndo nimekutana nae gafla bin vuu katika hali ya kustaajabisha nakutana na app ya ajabuUnaishi nyumbani kwa mama?
Ulipomuuliza akasemaje?Yaani imekuaje kuaje wakuu..
Humu ndani humu umakini unatakiwa wa kutosha aiseee
Yeah mimi nimekuelewa moja kwa moja na nimewashwa na kutoa pesa, ila usiwe kidume tu ,vipi sasa?Si unajua wazee wanaowashwa na pesa.
Na nilijua tu bamdogo akiona profile yangu Fb lazima aje inbox.
Wee huwoni mkuu..Kwani ina shida gani Jf?
Hizo bangi wakikuwahi unapona harakaWe jamaa wewe...ππππ
Sijaulza mi nimefanya kazi yangu na kuacha simu kama ilivyo ila nimefutilia mbali jfUlipomuuliza akasemaje?
Wewe wasiwasi wako ni nini?Imejua kuniwazisha.. na Bora awe ni mtu wa kupita tuu sio wa kukaa hapa jf mazima kwa kweli
Ww jamaaYeah mimi nimekuelewa moja kwa moja na nimewashwa na kutoa pesa, ila usiwe kidume tu ,vipi sasa?
Au sio..Muache mama ashinde mechi zakeee kijana.
Bi mdashi kuwa na app mkuu..Wewe wasiwasi wako ni nini?
Tuliaa mama aenjoy maisha nyuma ya id yake mbona wew hakufatiliii.Au sio..
Kwann umekuja huku we jamaa maana kuna mijitu ikikuona hapa watawaza ujinga mwingi sana