Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Tatzo sio pesa. Tatizo ni style ya kuzichukua.
Halafu wew sijui bint sjui n msela unaonekana una kichwa kigumu sanaa..

Nilichoandika n tofauti na madai yako..

Buku buku zipo. Wala hakuna shida ktk hiloo.. Lakini stayle ya kuzichukua ndio amezngua..

Yani mtu anigeuze #Tala af nimuangalie tu. Eti kisa pesa anayoomba ni ndogo..

Narudia tena. Style aliyoanza nayo ya kunipiga ndio kakosea hapo hapo tu.

Angekuwa mjanja angejipa walau muda. Anisome. Tusomane.

Bdae ndio anianzie taratibu, hapo hakuna shida. Tatoa ata laki.

Lakini sio siku ya kwanza tu matatizo yanaanza..

Aiseeee m sio boya walai.
 
Nitumie namba yake nimtumie 100,000 sasa hivi huyo dada maana najua atakuwa ameumia sana kwa kitendo ulichofanya. Kama hamn pesa kwa nini mnaomba namba za simu? We unajua alisumbuka kiasi gani kusajili hiyo line?

Msiwe mnafanya hivyo ndugu zanguni.mwishowe wote tutaonekana maskini na kudharaulika. Sijapenda hili jambo..

Naandika haya huku roho ikiniuma sana. Kabuku ( Tsh 1000 /= ) kangu kameenda kizembe sana. Dah

Siku hizi wadada wamekuwa wepesi sana kutoa namba zao mitandaoni..

Basi bana, juzi kati nkamuomba manzi flani namba. Fasta akanipa. Nkabaki nikijisemea ' Huyu naoa kabisaa '

Basi nkampgia, hakupokea. Bdae nkapga akadai hakuwa na kifurushi, ndio maana kashindwa kuntafuta bda ya kuona misd col.

Nkamwambia uswze. Akasema ' niungie bathiiii bandooo ' kwa sauti yaoo

Kimoyomoyo nkasema ' Tayaliiiiiiiiii '

Ila nkasema fresh, ngoja nijilipue tu. Ile kinyonge nkaenda kwa mangi nkanunua TIGO YA Tsh 1000/= nkamtumia

Athanteeeee ..' Ndio majb yake '

Nkasema fresh Mamilooo.. Takupigia bdae sasa. Akajibu poa.

Asubh nimempgia hakupokea pia. Nmepiga mida hii akadai pia hakuwa na simu plus hana kfurush. ' Niungiee basi bandoooo.. '

Nikasemaaa, Ayaaaaaaaa. Huyu nae vipi. Boyaaaaaàa nini. Kashanigeuzaaa mi falaaa wake sasa...

Sitatuma tena pesa yangu kwa hawa viumbe aiseee..

Buku langu si bora ningeenda kunywa supu ya jelo na chapati mbili.. Na chench ingebaki kabisaa

Nimefuta na namba japo roho bado inauchungu na Buku langu..
 
Kiduku Lilo uko wapi umsaidie mdau
 
Katika ubora wako akikuchelewesha nambie nitume yangu

jero ni soup ya paka au panya?
 
ndiyo sasa anashindwa kumiliki mali anataka kumiliki wanawake?

Yawezekana pia siku akianza kumiliki mwanamke ndio hata mali zitaanza kumfuata, hii nayo huwa ipo.

Nakumbuka kuna mwanangu mmoja kipindi fulani ndio tunaanza hustling, yaani yeye akiwa na mademu wengi ndio hela zinamtembelea kwa sana, kuna kipindi alikuwa anazinguana nao wanamkimbia wote na hela nazo zinakuwa adimu.
 
Hana lolote zaidi ya mikwara tu, cha ajabu Wanawake aina hii utajikuta unaingia gharama za kila namna ili umpate lakini utayoyashuhudia hadi utajilaumu ni kwanini alikupotezea muda akiwa anajiweka katika high class.

Sometimes huwa wanatumia sana hiyo mbinu kuficha madhaifu yao kama "defensive mechanism" ili hata kama utamkuta hana vigezo thabiti usijemuacha kirahisi rahisi tu.

NB sijasema kuwa ndivyo alivyo bali nimetolea mfano tu kwa uzoefu wa warembo ambao nilishakutana nao.

hehe!! hili nalo neno mzee baba
 
Sawa ila siyo hela ya kumpata mwanamke hivi wanaume mnatuchukuliaje jamani? Yaani mtu anigegede kwa buku? Mimi hata mwanaume anihonge gari kama simpendi hanigegedi ng'oo sembuse buku
Wewe huijui njaa
 
Nitumie namba yake nimtumie 100,000 sasa hivi huyo dada maana najua atakuwa ameumia sana kwa kitendo ulichofanya. Kama hamn pesa kwa nini mnaomba namba za simu? We unajua alisumbuka kiasi gani kusajili hiyo line?
Msiwe mnafanya hivyo ndugu zanguni.mwishowe wote tutaonekana maskini na kudharaulika. Sijapenda hili jambo..
Daaah pirates haya mambo hatuyawezi.
 
Sasa kama buku ni kubwa sana kwako, angekuja gheto ungempanda bure bila hata fanta na robo mkate?? Kweli, dunia taab sana. Huna hata buku unamtamani mwanamke, sijui ataogea nini ukimaliza show yako
unapanda bure tu kwani bei gan
 
Halafu wew sijui bint sjui n msela unaonekana una kichwa kigumu sanaa..

Nilichoandika n tofauti na madai yako..

Buku buku zipo. Wala hakuna shida ktk hiloo.. Lakini stayle ya kuzichukua ndio amezngua..

Yani mtu anigeuze #Tala af nimuangalie tu. Eti kisa pesa anayoomba ni ndogo..

Narudia tena. Style aliyoanza nayo ya kunipiga ndio kakosea hapo hapo tu.

Angekuwa mjanja angejipa walau muda. Anisome. Tusomane.

Bdae ndio anianzie taratibu, hapo hakuna shida. Tatoa ata laki.

Lakini sio siku ya kwanza tu matatizo yanaanza..

Aiseeee m sio boya walai.
Kwahiyo kusema baeleze, umeshusha gazeti lote hili??? Hao waliokuandikia magazeti wenzio huwaoni???
 
Back
Top Bottom