Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Siyo kila mwanaume anayetongoza anakuwa anatafuta mpenzi wa kuwa mke baadaye, kuna wanaume wengine wanatongoza kwa lengo la kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha sasa mnataka tuwatambuaje?

Au wanaume mnaotongoza kwa lengo la kuoa huwa mnakuwa na alama zenu mwilini? Msiwalaumu sana wanawake ikiwa hata ninyi wanaume ni wahuni dunia imeharibika sana sasa hivi acheni tu wanawake wajihami jamani maana nao wamechoka kuchezewa na kunyanyaswa na wanaume khaa
Lazma ujue kila mwanaume anaye mtongoza mwamke matarajio yake ya kwanza ni kulalanaye, kwaiyo maswala ya ndoa uja badae sana baada ya kutimiza itaji lakwanza, ndiyo sasa tunapima kwenye mizani je anafaa kuwa mke, je anaofu ya mungu, ana tamaa, analizika na anachokipata nk.
 
Sasa unadhani kuna mwanamke anayejielewa anapenda kulalwa tu na kuachwa hata kama ana mapungufu? Tatizo wanaume mnakuwaga na vigezo vingi na vya ajabu utadhani mnataka kuoa malaika kumbe wanadamu wenzenu tu yaani mnatakaga wanawake wawe wakamilifu wasiwe na mapungufu kabisa wakati hata ninyi wenyewe mnakuwaga na mapungufu yenu!

Sawa wakati ameshika simu yako ulijuaje kuwa aliingia jamii forums na kwamba alikuwa anachat na mimi? Je kama alikuwa anasoma tu au anachangia kwenye nyuzi nyingine?
Alikuwa anatumia simu yangu na accounti yangu hiii hapa jukwaani. Mimi natumia accout moja na mke wangu hapa jukwaani.
 
Nitumie namba yake nimtumie 100,000 sasa hivi huyo dada maana najua atakuwa ameumia sana kwa kitendo ulichofanya. Kama hamn pesa kwa nini mnaomba namba za simu? We unajua alisumbuka kiasi gani kusajili hiyo line?

Msiwe mnafanya hivyo ndugu zanguni.mwishowe wote tutaonekana maskini na kudharaulika. Sijapenda hili jambo..
kiduku lilo katika ubora wako ..Yani hapa nachekea tumboni khaa!!
 
Alikuwa ananiuliza akujibu nini, ndiyo namwerekeza cha kukujibu. Mimi na mke wangu ni kitu kimoja.
Sawa wakati ameshika simu yako ulijuaje kuwa aliingia jamii forums na kwamba alikuwa anachat na mimi? Je kama alikuwa anasoma tu au anachangia kwenye nyuzi nyingine?
 
Yani unakutana na mtu kwenye mitandao unawaza kuowa? Mtakuja kuowa majini msipokuwa makini
 
Sasa unadhani kuna mwanamke anayejielewa anapenda kulalwa tu na kuachwa hata kama ana mapungufu? Tatizo wanaume mnakuwaga na vigezo vingi na vya ajabu utadhani mnataka kuoa malaika kumbe wanadamu wenzenu tu yaani mnatakaga wanawake wawe wakamilifu wasiwe na mapungufu kabisa wakati hata ninyi wenyewe mnakuwaga na mapungufu yenu!
Wanaume atuna vigezo vya ajabu kwenye kuchagua mke , nyinyi wanawake ndo mna vigezo vya ajabu, mnataka mume awe mwenye gar, elimu kubwa, kama kapanga chumba bas kiwe full flat screen kubwa, fridge, kitanda kikubwa, jiko la gesi, awe mrefu awe anavaa nguo nzur, cc wanaume tunaangalia mke asiyekuwa na tamaa, siyo mchoyo kwa ndugu na wagen wakitutembelea, na ata mume akiteteleka kiuchumi asije kukimbia au Mme akiumwa ugonjwa wa muda mrefu asije kukimbia na akaolewa kwingine.
 
Kuna wanawake wengi tu ambao wako tayari na wanapenda kuwa michepuko unaonaje ukawatafuta hao?
Wacha hizo Marianah. Lete mipango mezani tule maisha, we are just passerby, we need to enjoy effectively mrimbwende
 
Hivyo vigezo mnavyovitakaga wanawake wawe navyo na ninyi wanaume huwa mnakuwaga navyo?
Wanaume atuna vigezo vya ajabu kwenye kuchagua mke , nyinyi wanawake ndo mna vigezo vya ajabu, mnataka mume awe mwenye gar, elimu kubwa, kama kapanga chumba bas kiwe full flat screen kubwa, fridge, kitanda kikubwa, jiko la gesi, awe mrefu awe anavaa nguo nzur, cc wanaume tunaangalia mke asiyekuwa na tamaa, siyo mchoyo kwa ndugu na wagen wakitutembelea, na ata mume akiteteleka kiuchumi asije kukimbia au Mme akiumwa ugonjwa wa muda mrefu asije kukimbia na akaolewa kwingine.
 
Kuna wanawake wengi tu ambao wako tayari na wanapenda kuwa michepuko unaonaje ukawatafuta hao?
ninafahamu wapo ila wewe ndiyo umeyafumba macho yangu sioni wala sisikii huko kwingine unakonisontea na kunielekeza. Kwako ndiyo nimefika wala siwezi kung'oa nanga.
 
Back
Top Bottom