Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Kama kuna mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa, basi hastahili kuwa na mwanamke yaani tena hastahili kabisa hata kuwa na hamu ya kufanya ngono anatakiwa atafute pesa aache kuwaza ujinga.
ndio maana vijana wanakuwa marioo siku hizi, hawana hata buku wala kazi ila wanataka wao watunzwe na wanapata mijimama
 
jamaa we sema uliyopigwa ila sio buku, kama sikosei ni buku 10
 
nilishawahi kuwa natoa tu hela ndogo ndogo zaidi ya hiyo na wala sikua na nia ya kuomba mzigo.
heee kumbe naonekana tonji.tunatofautiana mitazamo.

nikagundua kumbe kumpa tu mtu hela na usimtongoze wala kuomba, ye mwenyewe atakushangaa.
Ndiyo lazima washangae kwa sababu wanaume mmeigeuza kama ni desturi kuomba mzigo mnapowasaidia wanawake hela kwahiyo ikitokea mwanaume akatoa pesa bila kuomba mzigo lazima mwanamke ashangae

Na ndiyo maana unakuta kuna wanawake wengine wakiwaomba wanaume msaada wanasema kabisa "ukinisaidia nitakupa penzi" siyo kwamba wanataka ila wanadhani kuwa hakuna wanaume wanaoweza kutoa msaada kwa wanawake bure
 
Mbona mnatubagua wakuu.

Sie ndiyo hatustahili mapenzi?
Wanaume wengi masikini nao hawanaga shukurani mtu unasema umthamini na umasikini wake yeye anakuona kama taka taka tu anakusaliti au anakuwa yuko na wewe kwa sababu tu hana pesa ya kumfanya awe na wanawake wazuri na siku akizipata anakuona siyo type yake tena anaanza kukufanyia visa kwahiyo ni either uvumilie au ujiengue
 
Hehe hamuoi wapiga mizinga ila mnachepuka na wapiga mizinga na ndiyo wanaofaidi hela zenu kuliko hata wake zenu
Tulisha kubalianaga kwenye kile kikao chetu hakuna kumuunga demu na bando, ww kiherehere chako kimekuponza. Ila wanawake badilikeni sikuhizi wanaume hatuoi wapiga mizinga
 
Hilo povu lote langu au? Kwani wapi nimesema kuwa mimi ninaringa na ninajiona keki tuanzie hapo kwanza?
Jifanye unaringa alafu wakumwagie tindikali usoni domo likae kushoto ngozi ivutike hadi shingo ihamie kichogoni ndo ujione keki kumbe muhogo tu mkavu
 
Back
Top Bottom