Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Kwa kauli zake tu naassume hana hadhi hata ya kusalimiana na mimi status yake in real life mimi hainihusu na wala sitaki kuijua na kama amezaliwa huo mwaka aliouandika kwenye id yake ndiyo kabisa hakutakiwa hata kuireply comment yangu
Nimeona wimbo mpya wa Ariana Grande. Unao ?
 
Siyo kila mwanaume anayetongoza anakuwa anatafuta mpenzi wa kuwa mke baadaye, kuna wanaume wengine wanatongoza kwa lengo la kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha sasa mnataka tuwatambuaje?

Au wanaume mnaotongoza kwa lengo la kuoa huwa mnakuwa na alama zenu mwilini? Msiwalaumu sana wanawake ikiwa hata ninyi wanaume ni wahuni dunia imeharibika sana sasa hivi acheni tu wanawake wajihami jamani maana nao wamechoka kuchezewa na kunyanyaswa na wanaume khaa
Sisi ndo hatuchezewi ?

Wanawake bana eti tunawachezea eti tunawopotezea muda.. Sisi je? Sema tunachezeana.. Tunapotezeana muda usifanye ionekana Kama nyie ndo wahanga
 
Niliuliza swali, wanaume huwa mna cha kupoteza kwenye mapenzi tena hasa wanaume kama ninyi wazee wa kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha huwa mna cha kupoteza kwenye mapenzi?
Sisi ndo hatuchezewi ?

Wanawake bana eti tunawachezea eti tunawopotezea muda.. Sisi je? Sema tunachezeana.. Tunapotezeana muda usifanye ionekana Kama nyie ndo wahanga
 
Buku na weekend hii mzee si bora ungeenda kutandika mkeka murua ukisubiri u mo dewji saaaaafi
 
Back
Top Bottom