Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Haha ngoja tuone
Pombe ikimuisha kichwani atakujibu vizuri labda
Pombe ikimuisha kichwani atakujibu vizuri labda
Kuhusu nini tena??We hujafurahi???
Utamu wenu ndo unatusumbuaSi muache umalaya mnalalamika nini?
Kabisa besteDah.. Nyie ndio mnasababisha madem wapge mizinga. Kumbe mnawapaga kabisaa.. Aise
Sasa kama buku ni kubwa sana kwako, angekuja gheto ungempanda bure bila hata fanta na robo mkate?? Kweli, dunia taab sana. Huna hata buku unamtamani mwanamke, sijui ataogea nini ukimaliza show yakokwako buku ndogo, ila kwa mwingine ni kubwa sana
BaelezeeeeSasa kama buku ni kubwa sana kwako, angekuja gheto ungempanda bure bila hata fanta na robo mkate?? Kweli, dunia taab sana. Huna hata buku unamtamani mwanamke, sijui ataogea nini ukimaliza show yako
Sasa basi kama hamuwezi kubadilisha hiyo mitazamo yenu ndiyo msilalamike wanawake wanapowasumbua kuwapa mizigo na nimesema hiyo ni mitazamo tu kwa sababu kwenye dunia hii hii tunayoishi wapo wanawake wengi walioolewa na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja
Vipime ndiyo uvipe mzigo. Na kila baada ya miezi mitatu unavipereka kuvipima tenaIli viniletee magonjwa eti?
Tehtehteh... hapana bwana usiseme hivyo huo usemi wa mwanaume maskini si wa kuwa naye mkichuma anakukimbia ni excuses za wanawake wasiotutaka sie tulioanza na wanawake at 0.Ninyi ndiyo muone huruma kwa wanawake wenu wanaoanza kuchuma mali na ninyi
Oohh kama unawasumbua basi ndiyo mkubaliane na matokeoUtamu wenu ndo unatusumbua
Usawa ninaouhitaji? Kwani hao wanawake walioolewa na waume zaidi ya mmoja mimi ndiyo niliwaambia wafanye hivyo au mimi kuna mahali nimesema ninataka kuolewa na waume zaidi ya mmoja? Mimi nimeongea ukweli na uhalisia uliopo kwenye dunia ya sasaVizuri, ngoja nikusotee na wewe ili utumiliki wanaume wawili kwa wakati mumoja kwa ndoa. Hii inapaswa kuwa hivyo ili uweze kupigania usawa unaouhitaji kati ya mwanamke na mwanamme.
Vipime ndiyo uvipe mzigo. Na kila baada ya miezi mitatu unavipereka kuvipima tena
Sawa ila hayo mambo si yapo lakini?Tehtehteh... hapana bwana usiseme hivyo huo usemi wa mwanaume maskini si wa kuwa naye mkichuma anakukimbia ni excuses za wanawake wasiotutaka sie tulioanza na wanawake at 0.
Yapo yanatokea kwa yeyote awe mrefu, wakiume, wa kike, mzungu au mchina.Sawa ila hayo mambo si yapo lakini?
wakubwa wanafaid sana



Sometime mnakomoaOohh kama unawasumbua basi ndiyo mkubaliane na matokeo
Baelezeeee
Sijawahi kudeal nao ila nafahamu kwasababu nimeanza kutumia hizi social media tangu enzi za Hi 5 na Tagged so nilifanikiwa kuona mengi ya mitandaoni.