Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Iyo n bei ya shinyanga kijijini kwetu mkuu.. Tena supu safiiiii kabisaaa..

Unapewa na kipande cha pilipili na limao. Na mchuzi ukiisha unaongezewa na nyama juuu

Yani ni tamuuuu sanaa..

Sasa mkuu kama ng'ombe zinatokea huku, unataka bei ya supu kwa huku shinyanga zifanane na za huko mjini kwenu

Em kuwa sereouz..

Mkuu angalia buku isikutie gharama za kujitibia magonjwa ya tumbo.
Supu na chapati 1000???
Mtakuja ugua kwa supu za vibudu vya broiler ndugu yangu!!!
 
Iyo n bei ya shinyanga kijijini kwetu mkuu.. Tena supu safiiiii kabisaaa..

Unapewa na kipande cha pilipili na limao. Na mchuzi ukiisha unaongezewa na nyama juuu

Yani ni tamuuuu sanaa..

Sasa mkuu kama ng'ombe zinatokea huku, unataka bei ya supu kwa huku shinyanga zifanane na za huko mjini kwenu

Em kuwa sereouz..
Sina uhakika sana.Nilikua shinyanga cku chache tu na kiuhalisia nilishangaa sana maana bei ya nyama huko haina tofauti na jijin dar.labda kama ni vijijin haswaaa
 
Kwa mjini kati bei ipo juu kidogo.

Ila kwa huku vijijini kwetu bei ni sawa na bureeee..

Tunakunywa supu ya mia5 tu
Sina uhakika sana.Nilikua shinyanga cku chache tu na kiuhalisia nilishangaa sana maana bei ya nyama huko haina tofauti na jijin dar.labda kama ni vijijin haswaaa
 
ndiyo sasa anashindwa kumiliki mali anataka kumiliki wanawake?
Kwamba mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa hatakiwi hata kudindisha!! mamaee!! sasa mbona ni wanaume wengi sana tutakufa na vipururu!
 
Back
Top Bottom