MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,094
Sisi hatuna mioyo? Sisi sio binadamu auNiliuliza swali, wanaume huwa mna cha kupoteza kwenye mapenzi tena hasa wanaume kama ninyi wazee wa kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha huwa mna cha kupoteza kwenye mapenzi?