Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Anaetunzwa ni mke

Kama sio mke atatunzwa na baba ake huko ni kuingilia majukumu yasituhusu ila wengi hawalielewi hili ni tamaa tu
Na pia anayetakiwa kupewa heshima na kufanyiwa kazi za ndani ni mume na siyo mpenzi sasa mbona wanaume wengi mnataka mfanyiwe hayo kwenye uchumba?
 
tena mvifiche kabisa huko huko viliko visitune hata kwenye sarawili
Mimi ni kapuku mmoja hivi ambaye ni jobless,hopeless,helpless,defenseless ninayeishi chini ya $1 usd per day.

Yaani hiyo buku kwangu ni matumizi ya siku nzima na chenji inabaki ya kahawa kesho hasubui. Sasa kwa mujibu wa Marianah watu kama mimi hatutakiwi kabisa kuwaza kwichi kwichii ndio niko hapa nawaza
 
Sasa si utulie na mkeo wanawake wengine wa nini? Acha yakukute tu na bado!
Ninawatoto5.

Ninanyumba ya tembe ( Nyasi ) kijijini wishiteleja, nyarukungu maswa..

Nina mashamba na majaruba ya mpunga kijijini wishitelejah..

Mke wangu mama chanja anamimba ingine. Najua watakuwa n mapacha tu.

Kijijini kwetu mimi ni kamanda wa sungusungu..

Nimekuja dar kuuza ng'ombe zangu

Sasa mimi ni mwanaume ama mvulana utajua mwenyewe..
 
Hayo maneno ni kwa mujibu wa maandiko gani?
Hivi wanawake mnaumiaga nini pindi msalitiwapo na vidume.. Yani unalionea wivu dusheeee??? Em kuweni sereouz basiii.

Kusaliti kwa mwanaume ni suna. Ila kwa mwanamke ni UMALAYA na adhabu yake ni kuachwa mileleeeeee
 
Hana lolote zaidi ya mikwara tu, cha ajabu Wanawake aina hii utajikuta unaingia gharama za kila namna ili umpate lakini utayoyashuhudia hadi utajilaumu ni kwanini alikupotezea muda akiwa anajiweka katika high class.

Sometimes huwa wanatumia sana hiyo mbinu kuficha madhaifu yao kama "defensive mechanism" ili hata kama utamkuta hana vigezo thabiti usijemuacha kirahisi rahisi tu.

NB sijasema kuwa ndivyo alivyo bali nimetolea mfano tu kwa uzoefu wa warembo ambao nilishakutana nao.
Thank you for that forensic analysis mr sbs
 
Hhmm haya
Kwakweli m nikisema na-OA huyu, huwa najitoa kwa asilimia zote. Mnaniangushaga nyie tu..

Kuna mmoja niliwai mlipia gharama za hospitali kabisa. Nilimthamini km mke.

Tulipanga aje nilipo. Nkatuma na nauli.

Ila bdae akaanza kunigeuza km zoba flani hivi. Nkajisemea mwenyewe ' Mapenzi n furaha, sasa mbona huyu ananipa stress tu. '

Kwa hiyo wengine tunamaanisha tunaposemaga. Ila mizinga ya kibiya ndio huwa inatukimbizaaaa...
 
Buku tu ndo umefungua na uzi.
Ungepigwa million si ungeweka kwenye billboard wewe.
Tafuteni hela wanaume muache kulia lia na tuhela tudogo tudogo
 
Buku tu ndo umefungua na uzi.
Ungepigwa million si ungeweka kwenye billboard wewe.
Tafuteni hela wanaume muache kulia lia na tuhela tudogo tudogo
Tu senti bora ingekuwa tuhela
 
Buku kwako ndogo. Kwangu Mchongo. So #UsiforceTufananeeeeee
Buku tu ndo umefungua na uzi.
Ungepigwa million si ungeweka kwenye billboard wewe.
Tafuteni hela wanaume muache kulia lia na tuhela tudogo tudogo
 
Back
Top Bottom