Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Hapana Adam alipewa kila kitu ndipo akapewa Evah yaani mwanamke anatakiwa awe kitu cha mwisho mwanaume kukitafuta baada ya kutafuta vitu vyote na kujikamilisha
Acha kabisa mama la mama anakwambia yaani haitakiwi hata ishtue shtue kidogo ndani ya suruali endapo kama huna hata buku mfukoni. Si kauli za kikatili hizi.
 
Duuh sasa mbona mkizipata mnaanza kuwadharau hao wanawake wanaofanya mzipate?
Yawezekana pia siku akianza kumiliki mwanamke ndio hata mali zitaanza kumfuata, hii nayo huwa ipo.

Nakumbuka kuna mwanangu mmoja kipindi fulani ndio tunaanza hustling, yaani yeye akiwa na mademu wengi ndio hela zinamtembelea kwa sana, kuna kipindi alikuwa anazinguana nao wanamkimbia wote na hela nazo zinakuwa adimu.
 
Usawa ninaouhitaji? Kwani hao wanawake walioolewa na waume zaidi ya mmoja mimi ndiyo niliwaambia wafanye hivyo au mimi kuna mahali nimesema ninataka kuolewa na waume zaidi ya mmoja? Mimi nimeongea ukweli na uhalisia uliopo kwenye dunia ya sasa
Ndiyo, ukweri unausema, na mimi nataka kutimiza ndoto yako ya ukweri kwa kuhakikisha umeolewa na wanaume wawili. Mme mkubwa unaye, mimi ndiyo nakuja sasa mme mdogo, nitavumilia tu masharti mke kupangiwa zamu.
 
Tulia na mke wako mdogo wangu kwanza mimi siyawezi hayo

Yeye yupo, hapa ananiandalia chai, kisha nikachape kazi, tena unajua jana kuna mida ulichati naye ila kwa kuwa ni nyuma ya keyboard wala haukujua.
Tulia na mke wako mdogo wangu kwanza mimi siyawezi hayo
 
Lazma uidai, usipokuwa muoga kama Kunguru utaombwa ela kila Siku iendayo kwa mungu
 
Tuache umalaya kivip? Unakuta mtu unatafuta mpenz ili badae akikizi vigezo aje kuwa mke, sasa wao wanaanza kuomba ela kila unapo ongea nae kwenye simu yani awez kuacha kuomba ela, yan siku ukiongea nae kwenye simu mkamaliza bila kuombwa ela yan unahema kwa speed kubwa
Si muache umalaya mnalalamika nini?
 
Tuache umalaya kivip? Unakuta mtu unatafuta mpenz ili badae akikizi vigezo aje kuwa mke, sasa wao wanaanza kuomba ela kila unapo ongea nae kwenye simu yani awez kuacha kuomba ela, yan siku ukiongea nae kwenye simu mkamaliza bila kuombwa ela yan unahema kwa speed kubwa
Siyo kila mwanaume anayetongoza anakuwa anatafuta mpenzi wa kuwa mke baadaye, kuna wanaume wengine wanatongoza kwa lengo la kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha sasa mnataka tuwatambuaje?

Au wanaume mnaotongoza kwa lengo la kuoa huwa mnakuwa na alama zenu mwilini? Msiwalaumu sana wanawake ikiwa hata ninyi wanaume ni wahuni dunia imeharibika sana sasa hivi acheni tu wanawake wajihami jamani maana nao wamechoka kuchezewa na kunyanyaswa na wanaume khaa
 
Back
Top Bottom