Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,899
- 22,115
[emoji2][emoji2]
Bado hujasema
Bado hujasema
Anazingua huyo mwalimuWazazi wako usipowatunza nani atawatunza? Think twice kaka
Nitajuaje kuwa nimekufaNa ukifa ujizike usisumbue watu
Nitajuaje kuwa nimekufa
Hivi MTU akifa hata msipomzika ,au hata watu Wengi wasipo mzika ,au hata akitupwa tu ,au akazikwa na halmashauri Kwa kukosa ndugu ....Na ukifa ujizike usisumbue watu
Hivi MTU akifa hata msipomzika ,au hata watu Wengi wasipo mzika ,au hata akitupwa tu ,au akazikwa na halmashauri Kwa kukosa ndugu ....
Huyo MTU ambaye kashakuwa maita anapata madhara gani,au Ni hasara gan anapata ,Kwa maana Hakuna kitua anakuwa anajua ...
Maswala ya kusema utazikwa na Nani mbona kama Ni overrated....
Labda angesema ukifiwaHivi MTU akifa hata msipomzika ,au hata watu Wengi wasipo mzika ,au hata akitupwa tu ,au akazikwa na halmashauri Kwa kukosa ndugu ....
Huyo MTU ambaye kashakuwa maita anapata madhara gani,au Ni hasara gan anapata ,Kwa maana Hakuna kitua anakuwa anajua ...
Maswala ya kusema utazikwa na Nani mbona kama Ni overrated....
Mkute mtu kama wewe wazazi wako wameuza shamba la familia kukusomesha.Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako
Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa
N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Nipoo uduguu akee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nambie best angu nikupendae, upo shoga angu
Sio akili zake huyu hadi wazazi aseee!!Duu inafikirisha Sana
USalama upo..?Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako