Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Huna akili kama huwezi saidia hata wazazi wako wewe ni juha kama majuha wengine
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa

Kama Mama yako angesema hayo wakati unazaliwa tungekuwa tumekuzika.
 
Please unlock wazazi wako.wakikuomba pesa waambie wanipigie mm.
Unapowablock wazazi wako hutaki kusikia hata salamu na sauti zao?
Waulize wenzio ambao wazazi wao wamefariki walivyo na hamu ya kuombwa pesa hata kusikia sauti nzuri za wazazi wako.
Acha roho mbaya wewe kuwa na kazi na hivyo vijisenti vyako ni kwa neema tu.
 
Nilimsamehe mzazi wangu ila kiukweli sina imani naye tena..
Nikipata shida yoyote mzazi wangu atakuwa wa mwisho kuijua na ataijua pale nitakapokuwa nimekosa mtu wa kunisaidia na hata nikimwambia ni ile tu ngoja nijaribu..
Bado hujasamehe kikamilifu....

anyway walimwengu ndio walivyo, pole mkuu.
 
Mimi mara nyingi baba au mama akinipigia simu kuhitaji hela hua sijiulizi mara mbili kama kaomba 50k Nampa 100k, mabro itategemea na alivonielekeza 🤔wengn itategemea tupoje mm na ww, wanaume hua tuanasaka Kwa namna ngumu ila hatuli pekee yetu
Nakazia...
Afu huwaga zinaongezeka tu
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Kuna watu wataamini hii supu nyeupe.
 
Kwa sasa mental healthy ni tatizo kubwa na kitu kibaya zaidi hili linawakumba watu ambao wanakaa muda mrefu na watoto wetu tukiamini wanapewa maarifa kumbe tayari mtoa maarifa naye ana tatizo lake lingine.
 
TAFUTA HELA MZEE, ACHA MALALAMIKO

Watu ambao waliacha starehe zao ili upate kula, kuvaa, kulala, kusoma, hadi baadae umekuja kuwajua wakina Mwajuma ndala ndefu

Kisha sasa hivi wakina Mwajuma ndala ndefu wanahongwa halafu wazazi waonekane ndio wategemezi na hawafai kusaidiwa

Fool and stupid post of the year
Wewe kama wazazi wako walikulea kwa kuacha starehe shukru Mungu,elewa kuna ambao hawakulelewa na wazazi wao kwa kuendekeza hizo starehe,mboga saba!!
 
Mkuu ni hali ya kiuchumi ndio inakufanya hivyo au
Niko tayari kumsaidia kiumbe yeyote kama namjua au simjui kama ana shida haswa
Wapo wahitaji wengi na kama uwezo upo haina shida
Ila kama bajeti ni ngumu basi, lakini kuweka wazazi na ndugu kwenye kundi la ombaomba ni makosa mkuu
kwa hili napata ugumu kuamini kama ni kweli

Wazazi kabisa daa aisee nipe namba zao kama wana shida ya kukosa mlo
 
Kuna watu sijui hela zao wanapeleka wapi wao wanapenda kupewa tu
Pesa ina mfumo mmoja tuu , hii Siri ni nadra kukuambia mtu , ukiipata jitahidi kuitoa Kwa Jambo Jema , eg kusaidia watu wenye uhitaji Kwa ambao unawafahamu ni vzuri zaidi , kutoa sadaka n.k , pesa ukiing'ang'ania hutakuja kuipata kamwe , ndo mana wanawake wengi hawana mzizi wa Pesa , Kwa sababu walinyimwa mkono wa Kutoa, wao hupenda kupokea Ila kuitoa ni ngumu Wengi wao daima hudumu kuwa omba omba mpak wanakufa,
 
Back
Top Bottom