Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

Huko ndiko kuboresha Ustawi wa Jamii?

Laana au lah, hii ni sawa na Sumu tu Unajinywesha na kuwanyeshwa wenziwe. Loh

Daktari Gwajima yumo Vitani sasa (emoji ya kucheka hapa) X 4
..
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Mkuu nakuelewa sana 😂😂😂
 
Kuna watu wanakupigia siku siku ukitoka mshahala tu na kukupiga mzinga.

Tatizo anataka akupige mizinga hadi utakapo staafu.

Kuna watu wanatafuta idadi ya watu kadhaa wa kuwapiga kizinga mwisho wa mwezi.

Akipata wa wengi inakuwa kama na yeye anapokea mshahala.

Hao watu sio wa kuwaendekeza kabisa.
 
Na hii mvua umkute anabembelezwa atoe hela ya kodi na wifi anatoa hela kama hana akili nzuri Ila mzazi apige simu weeee
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Wewe ni masikini....Wewe ni choka mbaya
..Tafuta pesa.
 
Niliwahi fanya hivyo kwa ndugu zangu ila sio kwa kiblock namba zao ila tu nilivunja line na kusajili nyingine.
Sababu ilikuwa ni baada ya kupata shida mzazi wangu akakataa kunisaidia( nilimwomba anikope sh laki 5 ili nikatangulize kwa mdeni wangu mzazi alikataa kunikopesa alikataa kwa sababu nililiona salio lake bank alikuwa na milion kumi na mbili.
Kuninyima sawa pengine ana matumizi nayo ila klichoniuma zaidi ni yeye kuanza kufurahia matatizo yaliyonikuta huku akisema acha nikome)
Ndugu zangu nao hakuna aliyenisaidia zaidi na wao kuniombea mabaya..
Nilikamatwa na kuwekwa ndani siku mbili siku ya kwanza mama yangu alipopata taarifa kauli ni ile ile acha nikome kwani mimi sio wa kwanza kufungwa na pia swala la mdhamini nitajijua labda mwajiri wangu ndio atanitolea dhamana..
Baada ya kutoko lockup nilibadili line zangu zote

Ila baada ya mwaka mmoja nilimtafuta mzazi wangu nikamchana ukwli kuwa alivyonifanyia sio poa
Naye sijui yalimuingia maneno alinikatia milion mbili akanipa na ndugu zangu baadhi niliendelea kuwasiliana nao wengine mpka leo wameumute..

NB kwa kitendo alichonifanyia mzazi nakili mpka leo niliakbulia presha na vidonda vya tumbo vitu vinavyonitesa hadi leo..

Ila nashukuru kwa kuwa nimejifunza kitu kuwa usimtegemee mtu too much na usijitoe kwa mtu too much maana siku yakikukuta hutoamini majibu yao..

Nilimsamehe mzazi wangu ila kiukweli sina imani naye tena..
Nikipata shida yoyote mzazi wangu atakuwa wa mwisho kuijua na ataijua pale nitakapokuwa nimekosa mtu wa kunisaidia na hata nikimwambia ni ile tu ngoja nijaribu..

Sababu ya kukamatwa ni madeni ya mashine za ushuru wa serikali.
Nakumbuka muda wowte siku yoyte mzazi alikuwa akiniomba pesa(anaweza omba sh 10000 nikatuma 20000, akaomba 30000 nikatuma 60000 n.k) na pesa hizo nilikuwa namega kwenye pesa ya mashine ya ushuru..
Mwaka 2019/2020 kulikuwa na ukame nilimnunulia mchele jumla ya gunia tatu nikamtumia kwa nyakati tofaut ili kunusuru hali ya njaa yote haya niliyafanya kwa pesa ya mashine ya ushuru..
Siku mahesabu yangu yameenda kombo ndo alivyonifanyia kama nilivyoeleza hapo juu..

USHAURI KWA MTOA MADA.
usimblock mtu yoyote bila sababu ya msingi tena hasa mzazi na ndugu kwa kuwa sio kila ukiombwa kitu lazima utoe.
Mafano ukiombwa pesa na hauna usiibe et umtumie pesa au usilale njaa kisa umtumie pesa mtu.
Mwambie huna tu au muahidi utampa netx tym..

Shida hazina fomula wala muda wa kukuijia na hujui itakuja shida gani na kwa muda gani..

Shida ni dude la ajabu huwa lina tabia ya kukupeleka kwa uliowakana ili waitatue.
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa

Sema umaskini tu unakusumbua.
 
Kumbuka ,baba na mama ndo madaktari wako wa kwanza,wa hospital akikushindwa hukabidhi familia yako,familia nayo ikikushindwa huenda kukubwaga kwa wazazi,,chezeeeea vyooooteee ila si wazazi
 
Back
Top Bottom