Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

Wengine wanataka tu koment.za wadau hebu kaa tu utulie maana ulicho andika ni upuuzi mtupu bro
 
Tunasema haya tukiwa na nguvu na afya nzuri, inaitwa KIBURI CHA UZIMA.

Wazazi wako wangesema kama unavyotamka hapo sijui ingekuwaje?!!

Mheshimu baba na mama yako upate heri na miaka mingi ya kuishi hapa duniani.
Hiyo ya waheshimu wazazi wako inafanya Kazi Kwa wazazi tu waliojitambua na kuwekeza upendo WA kutosha Kwa watoto wao toka utotoni ....

Kuna wazazi wengine wa hovyo tu ,hawakuwekeza upendo Kwa watoto wao toka Mwanzo wanataka watoto washakuwa wazima et wawapende kama wao ....kiufupi unavuna ulichopanda wakuu ....

Kama unawapuuza watoto saizii ,huwapi upendo kama baba ,na kuonesha unyenyekevu ,tegemea wakikua kukupuuza tu na Hakuna laana ya kuwapata huo ndio ukweli nawambia ,,wazazi mjitambue mapema ,mnatengeneza mabomu wenyewe baadae mnaanza kuja na vijimaneno vya kwenye bible watoto walishaumia Sana hawana hata hisia na wazazi ,,hovyo kabisa...hata wakisema wasaidi Ni Ile kujivuta sanaaa (Hakuna bond nzuri Kati ya baba na mtoto ,na bond inatengenezwa ) kama unafikili kuzaa tu ndio unaona umemaliza basi utashuhudia mengi ...
 
Haya maisha ukizaa usitake umperekeshe mtoto wako, kama hukujipanga ukiwa kijana ni wewe mwenyewe na ujuha wako

Mtu yoyote akisema tu nisaidie kitu flani nakata simu na block juuu, elewa neno mtu yoyote hata kama ni kaka, dada, baba au mama napiga block kila mtu afanye maisha yake sitaki upuuzi wa kuharibiana bajeti apaa

N. B. laana ni neno la kutengezezwa tu Wala hakuna kitu laana kama inavyohisiwa
Kama Laana Hakuna Basi Karma Ipo Shida Ni Kwa Wote Ni Suala La Muda
 
Hiyo ya waheshimu wazazi wako inafanya Kazi Kwa wazazi tu waliojitambua na kuwekeza upendo WA kutosha Kwa watoto wao toka utotoni ....

Kuna wazazi wengine wa hovyo tu ,hawakuwekeza upendo Kwa watoto wao toka Mwanzo wanataka watoto washakuwa wazima et wawapende kama wao ....kiufupi unavuna ulichopanda wakuu ....

Kama unawapuuza watoto saizii ,huwapi upendo kama baba ,na kuonesha unyenyekevu ,tegemea wakikua kukupuuza tu na Hakuna laana ya kuwapata huo ndio ukweli nawambia ,,wazazi mjitambue mapema ,mnatengeneza mabomu wenyewe baadae mnaanza kuja na vijimaneno vya kwenye bible watoto walishaumia Sana hawana hata hisia na wazazi ,,hovyo kabisa...hata wakisema wasaidi Ni Ile kujivuta sanaaa (Hakuna bond nzuri Kati ya baba na mtoto ,na bond inatengenezwa ) kama unafikili kuzaa tu ndio unaona umemaliza basi utashuhudia mengi ...
Umemaliza! Very good
 
Uko sahihi kbsa japo waafrika ukweli kama huu hatupendi kusikia
 
Back
Top Bottom