Nimependwa na Mzungu; tunaweza kudumu bila kumlamba chumvi? Nisaidieni wazoefu

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
4,398
Reaction score
3,330
Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba.

Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu wakienda chooni ndo unazidi kuniweka mbali na ufyonzaji huo wa chumvi. Nifanyeje?!!!
 
Kwa hiyo "dr" huna elimu yoyote kuhusiana na tongue-dom
 
Baada ya kusikia gwajima unakuja na uzi za kitoto.Tumekushtukia Moderator futa hawa wakola wa ccm hakuna mada
 
nchii ina maadui watatu...................
wacha waje wakwambie ili ujue kundi lako
 
Sio wote wanashabikia hayo mambo
Wengine ni uchafu kama uchafu mwingine
Kuhusu kuchamba utamchamba wewe mpaka atakapozoea
hakuna mada muangalie huyo mtu post zake na comment zake ni mtu wakushabikia watekaji baada ya kusikia gwajima analeta uwongo hapa watu tuache kuhusu kujadili mengine.
 
Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba.

Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu wakienda chooni ndo unazidi kuniweka mbali na ufyonzaji huo wa chumvi. Nifanyeje?!!!
Kutoboa bila kumuendea chumvini ngumu sana, labda awe kati ya wachache ambao hawapendi.
 
Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba.

Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu wakienda chooni ndo unazidi kuniweka mbali na ufyonzaji huo wa chumvi. Nifanyeje?!!!
Kamuulize Mama Samia unayemlamba miguu na kumsifia kila saa hapa JF. 😁😁😁😄
 
Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba.

Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu wakienda chooni ndo unazidi kuniweka mbali na ufyonzaji huo wa chumvi. Nifanyeje?!!!
utavyonza mpaka tigo bro wala usiogope
 
hakuna mada muangalie huyo mtu post zake na comment zake ni mtu wakushabikia watekaji baada ya kusikia gwajima analeta uwongo hapa watu tuache kuhusu kujadili mengine.
Kumbe?
Basi namuweka kwenye ignore list
 
wamekuja kuzima mjadala ndo wanaona wana akili hapo kumbe jinga moja la ccm
Duh, hii Kali. Yaani mjadala wa siasa uje uzimwe kwenye jukwaa la Mapenzi lililojaa mada kedekede za Kila siku?!!! Aisee lissu ana bahati mbaya sana mwaka huu; gerezani akae yeye halafu minyumbu isiyo na akili pia azawadiwe yeye na mbowe. Akitoka lazima akimbilie zake ulaya akale Bata alizokusanya mkewe (kivipi?!! Mi sijui)

Kama Mimi ni mwanaccm, nitazima vp Sasa mjadala wa watu wa ccm ambao umepangiliwa vizuri kuwachezesha mabwege kama nyie?!!!😄😄😄
Hapo ulipo umeshasahau hata tarehe ya bwana'ako lissu ya kuhudhuria mahakamani. Ndo kwa akili hizi mshindane na ccm?!!!!
 
kali we si yule wa mtandao X .tunakujua tokea x kuwa ni ccm
 
Back
Top Bottom